Mikopo ya mabenki Tanzania

Mkuu uaminifu huanza kwenye kidogo ulichopatiwa , Sasa ukipatiwa kingi ndo utakua muaminifu, huwezi kamwe
Mkuu Tala ni ma zero brain sana, hata hawafanyi tathimini,mtu hajala siku mbili, ana smart phone na kitambulisho cha kura au Licence anaambiwa atapewa elfu 20 mkopo kama mtaji, sasa elfu 20 mkuu utafanya biashara gani?
 
Hapana watanzania hamna uaminifu, nadhani unataka kuonyesha utapeli wako ulio fanya ni sahihi, kumbe sio, dawa ya deni nikulipa tu
 
Mkuu Tala ni ma zero brain sana, hata hawafanyi tathimini,mtu hajala siku mbili, ana smart phone na kitambulisho cha kura au Licence anaambiwa atapewa elfu 20 mkopo kama mtaji, sasa elfu 20 mkuu utafanya biashara gani?
halafu maswali yao sasa utafikiri wanakupa ten millions ,we unaniuliza elfu ishirini nataka kuifanyia nini?
 
Kuna rafiki kaomba milion 2 anaambiwa awe na nyumba,kweli mikopo ya Tanzania imekaa ki biashara zaidi
 
Mikopo ya mabenki riba ni 21% ukikopa mfano 12m kwa mwaka na nusu miezi 18 utatakiwa kurudisha 920.500 kila mwezi × miezi 18 mikopo ni shida kubwa riba zipo juu 21%!!!?????
Na hiyo 12m hutaipata yote, kuna vi gharama vitaingia hapo mara sijui udeposot 100,000 mara sijui nini mwishoni unakuta ni 11m na point
 
Nao wanafanya biashara wanatafuta faida...

Alafu pesa haina adabu, bila utaratibu maalamu watu hupoteana....

Cc: mahondaw
 
Na hiyo 12m hutaipata yote, kuna vi gharama vitaingia hapo mara sijui udeposot 100,000 mara sijui nini mwishoni unakuta ni 11m na point
Kabisa mkuu,vigharama kibao. Ili mradi wakupige tu
 
Back
Top Bottom