Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,042
Mikopo ya mabank ya Kitanzania haijakaa katika kumtoa mtu kwenye umasikini. Mabank karibu yote mikopo yao imekaa kiubepari tu. Kukopa bank lazima uwe na mtaji,ndio unakopeshwa juu ya mtaji wako.
Kuna vijana wengi nchini wamesoma wana uhitaji wa mitaji,mikopo kibank,ndio ilikuwa nafasi yao kuwakomboa hawa vijana kujiajiri. Kuna vijana wengi wamemaliza vyuo na wengine ambao hawajafikia huko wana mawazo mengi mazuri ya kuwakwamua na umasikini tatizo linakuwa ni mtaji tu.
1.Ona wazo kama kijana huyu ana plan ya kuanzisha mradi mkubwa wa ufugaji nguruwe,na soko lipo tayari analo hapa mpaka la nje. Kama huyu akipewa mkopo hata wa miaka mitatu tu hela ya kibank inaanza kurudi na faida yao juu. Kumbuka huyu ataajiri vijana wengi wa kawaida kuhudumia na wataalam wa mifuko pia.
2. Ona kijana huyu mwingine ana ardhi anataka kufungua shamba kubwa la matunda la maparachichi,heka kama 100 anayo hiyo ardhi,huyu akipewa mkopo wa miaka mitatu tayari anaanza kuvuna maparachichi,hela ya kibank inarudi na liba yao yote. Na huyu ujue ataajiri vijana wengine wa kawaida kukuhudumia na wataalam wa shamba pia.
3. China wamefanikiwa kueneza ajira kwa mtindo huo. Wachina wote mnaowaona wanajenga majengo,barabara,madaraja huku. Hao hawana mitaji yao. Ila yeye anakuja Tz anatafuta kazi,akipata kazi,anarudi nchini mwao,anaonyesha kazi aliyopata Tz. Kwa hiyo anaomba mkopo ili akaifanye hiyo kazi.
=MWISHO wa mabank hebu angalieni namna ya kusaidia hilo. MIMI NAHITAJI MKOPO NIKAFUNGUE SHAMBA LA MAPARACHICHI. ARDHI NINAYO NA DHAMANA NI HILO SHAMBA NA BIMA. HUMU KUNA WATAALAM WA KILA FANI NISAIDIWE HILO. MUNGU AWABARIKI SANA