Umeshindwa vipi kulipa na wakati kadi anayo mdai wako? Halafu kuna salary advance NMB na CRDB kwa watumishi wa umma! Kwa nini ukakope mkopo wa kuwekea dhamana ya ATM Card?
Ndugu watumishi wenzangu, ifikie wakati tujiongeze kwa kujianzishia shughuli mbalimbali za kiuchumi! Haya mambo ya kuishi kwa kutegemea huu mshahara kiduchu uliojaa madeni! Haukubaliki hata kidogo.
Walimu tuna hali ngumu....walimu!!!
na sisi tuna umuhimu....walimu!!!
tutazua kitim tim...
hadi wizara ya elimu...walimu!!![emoji445][emoji444][emoji443][emoji443]