thebackbonet
Member
- Aug 13, 2017
- 19
- 1
Ndugu wanajamii forum Nina ndugu yangu amechaguliwa chuo cha afya Kilimanjaro ,kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamu kuhusu ufadhili wa wanafunzi wa diploma za afya..inakuaje kwa aliyepitia haya au aliyewahi kusikia kuhusu hili jambo ,naomba msaada kutoka kwenu ili aweze kusoma maana hali c nzuri upande wangu!
Lakin nahitaji atimize ndoto zake
Lakin nahitaji atimize ndoto zake