January3101
Member
- Aug 25, 2017
- 37
- 13
Habari ndugu, ktk batch zote zilizotoka hakuna 2nd or 3rd year aliyepata mkopo, je kunabatch it a kayo walenga wao tu au ndo bas tena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
HamnaMbona ya jana ya awamu ya 4 kuna sec year wamepata
Mimi nimewaona wawiliHamna
Ile imeandikwa first year na angalia kweny ( yos ) kuna second yearMimi nimewaona wawili