Mikopo kwa wanafunzi wa medicine

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wapendwa anayejua policy ya mikopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa medicine/dds etc ..... Anisaidie. Sina uhakika kama bado wanapewa upendeleo (100% loan/free???) kama ilivyokuwa zamani
 
Unaongela zamani ipi.. enzi za Nyerere elimu ilikua bure vidudu mpaka chuo kikuu, Yani waliokutuma hata hiyo policy hawaijui?
 
MUHAS:School fees,books and stationary allowance na special faculty requirements ni grant(ruzuku) kutoka wizara ya elimu.Boom ni mkopo kama ilivyo kwa course nyingine.
 
acha arrogance nimeomba msaada kama hutaki basi, lakini siyo kukejeli. Wengine hatujazoea machukizo kwa Mungu
 
MUHAS:School fees,books and stationary allowance na special faculty requirements ni grant(ruzuku) kutoka wizara ya elimu.Boom ni mkopo kama ilivyo kwa course nyingine.

Asante sana rafiki. What about watoto waliosoma kwenye shule za kulipia? maana walisema kuwa kama mtoto kasoma kwenye shule za kulipia mpaka form six basi mzazi anajiweza hapati mkopo. Is this true for MUHAS students.
 
sio kweli mkuu wote mnapewa ruzuku, hata kama ni mtoto wa JK usihofu ni 100% uhakika.
 
Asante for the information, maana kama policy ni kuwa hawapati waliosoma private, you need to start now to mobilize funds and prioritize!!
 
aisee hamna cha policy wala nini policy zenyewe hazifuatwi
 
Back
Top Bottom