Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Joined
Dec 9, 2018
Posts
66
Reaction score
52
Wakuu, ni wazi kwamba wapo wanafunzi wengi ambao walitarajia kujiunga na masomo ya elimu ya juu mwaka huu ila wameshindwa kutokana na kukosa mkopo kutoka HESLB na pia kutokuwa na uwezo wa kujisomesha. Naamini hapa JF kuna watu wenye uwezo ambao wana uwezo wa kuwasaidia hawa vijana waweze kutimiza ndoto zao hata kama ni kwa masharti maalumu.

Kama wapo wajitokeze ili waweze kuwasaidia maana nimeona humu nyuzi nyingi vijana wakilalamikia kukosa mikopo kutoka HESLB na hawana uwezo wa kujisomesha.
 
Hivi yule anayejigamba kuwa nchi hii ni tajiri sana kwanini asitoe mikopo kwa wanafunzi wote?Nadhani mlimsikia alipokutana na mawaziri wa nchi za nordic akiendelea kujigamba.Ingekuwa vyema angetembelea hizo nchi za Nordic akaone nchi tajiri zinafananaje.
tz.jpeg
 
nadhani ilikuwa inawezekana kuwapa wanafunz wote hela ya meals and accomodation alaf izo za ada na vitu vingne ndyo watoe kwa hao ambao wao wanaamini wanauhitaji zaidi

View attachment 1260232
 
nadhani ilikuwa inawezekana kuwapa wanafunz wote hela ya meals and accomodation alaf izo za ada na vitu vingne ndyo watoe kwa hao ambao wao wanaamini wanauhitaji zaidi
Well said ,,mkuu umeongea point sana.Akili kama hizi ndo zinahitajika kule heslb
 
Back
Top Bottom