Familia moja yenye watu 12 iliyoko mtaa wa Simanjiro kata ya Sombetini jijini Arusha imekosa mahali pa kuishi baada ya Watu wanaodaiwa kuwa madalali wa mahakama kuvamia nyumba Yao na kuwaondoa Kwa nguvu na Kisha kutupa nje vitu vyao. Familia hiyo imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutolewa...