Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,268
- 11,676
sasa wewe unayetoa mikopo si ndio unatakiwa ujue zaidi, anyway EAR means effective annual rate,ni formula ya cost ya mkopo kwa mwaka, monthly rate on reducing balance mnayofanya ni approximately 25% kama hakuna fee nyingine au ujanja ujanjamkuu hizo hesabu Sasa fafanua