Mikopo kwa elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo kwa elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ileje, Feb 13, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Huu ni ubinafsi au ufisadi?
  1. Watoto wa vigogo kama marais, mawaziri, majaji, wabunge nk kupata mikopo halafu washindwe kuirudisha kwa wakati!
  2. Watoto hawa wa vigogo kupewa mikopo wakati watoto wa mafukara wanakosa!
  3. Vigogo wenyewe kuchukuwa mikopo na kushindwa kulipa kwa wakati!
  Tafakari!
   
Loading...