Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

Kuna jamaa yangu kawazingua,hawahawa mkopo powa na mdhamin kaniweka Mimi,anapigacmu Kuna mtu tunamdai harafu anatutukana na wewe ndio mdhan wake,nikawauliza mnataka nimdhamin?wakajibu tumeshampa ela tayri.kwanini hamkunipigia kabla ya kumpa?wananiambia cmu yangu ilikuwa haipatikani.achanani na ujinga wenu,wakanivungia kma cku mbili flani mara hawa apa Tena,kma mdhamin utawajibika kwa hili.yule dada hakuna tusi haukuwahi kuckia Toka kwangu.kwanza mipango kwa upande yangu ilijam so akawa amefika muda muafaka,baada ya hapo imefika mwezi sasa kinywa siyo kwangu Wala aliyekula ela.
Unaongea lugha gani wewe? Au ni google translator?
 
Back
Top Bottom