Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,717
- 2,594
Dunia tambara bovu na vituko haviishi na kila kukicha ni vuta nikuvute. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wakopeshaji wa kidigital ambao si haba wanaongezeka kila kukicha.
Mie natoleo mfano mkopo wako, hawa jamaa ni nouma sana nikiwalinganisha na wengine hawa wabunifu zaidi wameajiri wadada wachambaji, wanakupigia na maneno laini kama vile wanafanya promotion ukope sasa balaa lake siku ya marejesho wanakupigia asubuhi sana kukumbusha kulipa na wanatuma msg kukwambia mpaka saa 5 uwe umelipa, ikizidi saa tano. Mkataba wako unaonyesha tarehe ya marejesho, mie leo nilitakiwa kulipa second installment tarehe 21 July 23.
Watoto wa uswahilini waliowaajiri kudadadeki wanakupigia na kukufata inbox na michambo. Unachambwa mpaka basi naona ukipitisha tarehe lazima wakuporomeshee matusi. Na wakikupigia lazima upokee usipopokea ni michambo.
Please wenye uzoefu na kausha damu za kidigital, ebu tubadilishane uzoefu manake hii dunia ukijifungia peke yako unaweza umshindilie mtu bisu la roho ukaozee segerea. JF ndio paa la BATi na profile picture kaweka na hii ndiomsgwamenitumia mwana wa mbone