Mikopo diploma mwaka huu

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
hbr wana jf. mim nilikua nahitaji kujua kuhusu suala la diploma kupewa mkopo limeshapitishwa ?. au bdo. mana bi ndali alipeleka pendekezo lijadiliwe bungen. please kwa yeyote anaejua full infor anipe ukweli.
 
Kwan huna matumaini ya kupata division 2 form six?
 
Kwan huna matumaini ya kupata division 2 form six?
nauliza nijue mana nina dogo langu hapa ndo kaua six mwaka jana ila akawa hajafikia zile passes yaani D mbili sasa kaaply diploma mwez huu sasa anahitaji kujua km mkopo upo kwa wanaoenda kusomea diploma kama upo mwaka huu ajue jinsi ya kuaply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…