Mikononi mwa Mzee Shed!!!

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Kwa waliosoma Mazengo Sekondari mnaikumbuka
hiyo!!!!
 

Attachments

  • IMG_20181216_135657.jpg
    IMG_20181216_135657.jpg
    216.6 KB · Views: 65
  • IMG_20181216_143603.jpg
    IMG_20181216_143603.jpg
    221.5 KB · Views: 37
Umenikumbusha mbali sana mkuu, zile nyama za mbalamaziwa enzi hizo wakati tunasubilia pick up ijae,pale lazima mbwa nilikula Aisee maana hazieleweki
Dah!Furaha sana.Ila maharage ya Kinegembasi magumu balaa.Kuiva hadi uyapike kwa makaa ya mawe kutoka Liganga.Nitafurahi sana yakipikwa kwenye msiba wa jiwe!
 
Back
Top Bottom