Mikono inapiga shoti nikishika chuma chochote au hela ya sarafu (Coin)

Kuna baadhi ya nguo hasa zenye polister materials huwa zinasababisha mwili kupiga shoti.. Cha kqanza anza kujikagua.. Je ukivaa coton material full unapiga short au ukichanga na polister ndo unapiga shoti.. Toa jibu ndo tukupe ushauri sasa
Asante ntafatilia...hata hvo nikivaa polister ndo inakua hvo
 
mr pare kuna vitu viwili
01. yaweza kuwa ni static electricity kwenye hivyo vitu ambavyo unavishika .yawezekana vimekuwa subjected kwenye aina ya umeme kwa muda na na wewe unavyovishika una hisi hiyo shot.
02. yaweza kuwa matatizo ya mwili wako ya nerve system yanayopelekea hizo impulse kuhisi kwenye ending ya mikono/vidole
ushauri waone wataalamu wanaoitwa
a)neurophysician
or neurosurgions
 
Habari wapendwa?
Kama kichwa cha habari kinavosema..hiyo hali imenianza juzi....msaada tafadhali!!

[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]

Inaitwa static electricity (in hands/body) fanya kugogo. Kwa wengine inatokea pia wanapofungua mlango wa gari
 
Back
Top Bottom