Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,610
- 2,255
Habari wakuu? Ugumu wa maisha na kukosekana. kwa uvumilivu kwa wasichana ni miongoni mwasababu kwa sisi wavulana tusiokuwa na uhakika wa kipato kuhisi kushidwa kuwahudumia wapenzi wetu, kwa bahati mbaya wapenzi wetu nao huitumia hali mbaya ya kiuchumi kwetu kuwa sababu ya kutuacha na kutafuta wapenzi wengine wenye nacho, nikifikiria mema niliyomfanyia roho inaniuma kwelikweli, nakwakua bado nampenda, ndio namwambia "nenda utanikumbuka" bila aibu,bila ya kufikiria ananijibu, sina mtoto,sina mimba yako nikukumbuke kwa lipi? kwa bahati nzuri nakumbuka changu nilichomuachia, nami namjibu kwa kumuuliza,"Mikojo yangu mpenzi!?