Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
MTM shida ni dini tu ndio inawasumbua hata hamfuatilii vizuri habari ya mama huyu?Masa, tusimpe umaarufu mchawi mazee, tumuangalie na huyu mama... mbona anawahi kwenye vijarida akiwa na mambo yanayohusu uchwi wakati haji mbele ya jamii kwa yale mengine mema kama kusaidia masikini?
Ustaadh Hamisi Sued au Dr. Mgurumbe huyo ndi Shehe mwenye mazingaombwe na kuacha manyanga bana.
Thread hii ilipowekwa tu, nialiamini patatokea watu wenye upungufu wa bongo kama huyu!! Hivi nyinyi watu mbona mna fikra mbovu za udini vichwani mwenu namna hii? sasa suala la ustaadh, au shehe limetokea wapi hapo?! mkiambiwa yesu sio mungu unapiga kelele wakati ujinga mnaanzishaga wenyewe.
Wewe nawe una matatizo makubwa na dini yako ya kishetani ya Ukatoliki. Unajua hao watoto walipoachiwa nini kilitokea? Fuatilia vizuri .
MTM shida ni dini tu ndio inawasumbua hata hamfuatilii vizuri habari ya mama huyu?
Hata kama anashida nyingine, sijui. lakini ninachojua huyu mama amekuwa akisomesha yatima na wasiojiweza wengi tu, tena bure, katika shule zake za st Mary's.
Sasa mema mengine ya kijamii unayotaka ni yapi?
Yamkini hata kumleta huyo mchawi kutoka katika mkono ya shetani kuja kwa Mungu kupitia Yesu Kristo ni jema!
Mengine ni chuki zenu tu za dini wala haziwasaidii kitu. Na kama ulikuwa mteja wa huyo mganga umeliwa maana tayari kesha waacha njia panda.
Masa, tusimpe umaarufu mchawi mazee, tumuangalie na huyu mama... mbona anawahi kwenye vijarida akiwa na mambo yanayohusu uchwi wakati haji mbele ya jamii kwa yale mengine mema kama kusaidia masikini?