Mikocheni yawaka moto

Mikocheni yawaka moto

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
AlbinoChoma.jpg

Legislator Rev Getrude Rwakatare leads residents of Mikocheni in Dar es Salaam in setting fire yesterday to ``tools`` abandoned by a traditional healer Hamis Sued alias Dr Ngurumbe. This was part of a campaign to stop the killings of albinos.
 
Hamis Sued alias Dr Ngurumbe vipi huyu? Hapa pana NGUVU YA YESU.
 
Habari ni njema ila title yake ndio inashtua kweli!
 
Moto wa Yesu Mkuu, si unajuwa tena lazima tuchome kila kitu mpaka kitaab!
 
Nyie kweli mnapenda maendeleo ya mazingaumbwe. Mauaji ya albino yanatokeo Mwanza, Shinyanga, Kagera, Tabora, alafu kampeni mnafanya DSM.

Kwanini mijitu mizima yenye akili haiendi huko kunakotokea? Inawezekana huyo professor wa DSM analikuwa anaingiza watu King tu.
 
AlbinoChoma.jpg

Legislator Rev Getrude Rwakatare leads residents of Mikocheni in Dar es Salaam in setting fire yesterday to ``tools`` abandoned by a traditional healer Hamis Sued alias Dr Ngurumbe. This was part of a campaign to stop the killings of albinos.

Ujinga mtupu si ajabu na mama rwakatare anajihusisha na uchawi, ilikuwaje akadanganya umma eti kuna watoo wamedondoka kwenye kanisa lake
 
ujinga mtupu ......huyu mama huenda anahusika na mauaji ya alboino hapo anazuga tu. hizo pesa za mashule ya st. marys alizitoa wapi? au ni za mafisadi ndio maana wakamzawadia ubunge?
 
Utapeli, uwizi, ujinga na mazingaombwe..wajing ni waliwao..lol

poor rwakatare..endelea udanganya hao kondoo to late..
 
Ustaadh Hamisi Sued au Dr. Mgurumbe huyo ndi Shehe mwenye mazingaombwe na kuacha manyanga bana.
 
ujinga mtupu ......huyu mama huenda anahusika na mauaji ya alboino hapo anazuga tu. hizo pesa za mashule ya st. marys alizitoa wapi? au ni za mafisadi ndio maana wakamzawadia ubunge?
Pesa za kujengea mashule nilisikia aliwatapeli wazungu huko marekani!
 
Nyie kweli mnapenda maendeleo ya mazingaumbwe. Mauaji ya albino yanatokeo Mwanza, Shinyanga, Kagera, Tabora, alafu kampeni mnafanya DSM.

Kwanini mijitu mizima yenye akili haiendi huko kunakotokea? Inawezekana huyo professor wa DSM analikuwa anaingiza watu King tu.

Mkuu ni sawa kabisa usemayo, Kama huyu mama kweli anayaweza hayo yote kwanini basi asizui watoto wasio na hatia wasiuawe kwasababu ya ulemavu wa ngozi zao?
Kwani wapi walisema aliyepewa vipawa vya kweli na mungu anajitangaza na wapigapicha?

Nina wasiwasi sana na huyu mama maana kuna mambo anafanya ambayo si ya kufaa sana
 
Utapeli, uwizi, ujinga na mazingaombwe..wajing ni waliwao..lol

poor rwakatare..endelea udanganya hao kondoo to late..

Hamisi Sued au Dr. Mgurumbe hawa ndugu zetu wana balaa, si ajabu huyu naye alienda kuhiji Mecca mwaka huu!
 
Masa, tusimpe umaarufu mchawi mazee, tumuangalie na huyu mama... mbona anawahi kwenye vijarida akiwa na mambo yanayohusu uchwi wakati haji mbele ya jamii kwa yale mengine mema kama kusaidia masikini?
 
Mazee siku hizi hata viongozi wa dini wanafanya mambo ya ajabu sana!
 
Mkuu hali si hali!!!! sijui kwanini tunawapa nafasi hata kwenye vijarida!!! Its fecking sick!!!

Mama ameshindia uchawi, uchawi... kaona ndio pa kutokea;
 
Nilipata storiz za Kakobe nilichoka ....mshikaji kumbe alienda somea uchawi Nigeria leo anakaa mbele ya madhabahu akikemea pepo duuuuuuuuuuu
 
Ujinga mtupu si ajabu na mama rwakatare anajihusisha na uchawi, ilikuwaje akadanganya umma eti kuna watoo wamedondoka kwenye kanisa lake

Wewe nawe una matatizo makubwa na dini yako ya kishetani ya Ukatoliki. Unajua hao watoto walipoachiwa nini kilitokea? Fuatilia vizuri .
 
Mkuu sas ukatoliki nk yameingiaje? jadili hoja sio kuanza matusi... kuna jukwaa lake bana
 
Nyie kweli mnapenda maendeleo ya mazingaumbwe. Mauaji ya albino yanatokeo Mwanza, Shinyanga, Kagera, Tabora, alafu kampeni mnafanya DSM.

Kwanini mijitu mizima yenye akili haiendi huko kunakotokea? Inawezekana huyo professor wa DSM analikuwa anaingiza watu King tu.

Zakumi hukuwahi kusikia watu walikamatwa maeneno ya Kipawa jijini DSM wakimvizia kumuua Albino?
 
Back
Top Bottom