Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
156
Reaction score
53
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.
 
Hadi police na jeshi wakiellimishwa nakuekewa maana ya drmikrasia hapo sawa
 
The General Report on Population Distribution by Administrative Units is the first of a series of publications planned for the 2012 PHC. The main purpose of the report is to give aggregated totals of population by sex. The report also provide number of households, average household size, population densities, average annual inter-censal growth rates and sex ratios. Levels of aggregation are national, regional, district council and ward/shehia.

The 2012 PHC revealed that, the population of Tanzania has grown from 12,313,469 persons in the 1967 Census to 44,928,923 persons counted in 2012. Dar es Salaam accounts for 10 percent of the total Tanzania Mainland population
Click here to Download Population Distribution by Administrative Units report. (file size is 5.7MB)
 
Mhonzuyadilu sio mikoa bali ni miji tisa . sasa hiyo miji tisa ambako mnao washabiki tu na sio wapiga kura unategemea ati mtatung'oa madarakani....nenda wilayani katika mikoa hiyohiyo utaona wilaya nyingine tumechukua mitaa bila kupingwa na kwingine mko dhaifu... Huko kwenye hiyo miji tisa nakuhakikishia aidha tunazoa viti vyote au tunagawana viti
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.
 
Ukifanya tafiti ndogo tu hapa inchini kuelekea General election 2015
Harakati za kisiasa na mwamko kwa wanainchi wake kudai mabadiliko mikoa ifuatayo kuiongoza Tanzania kwenda kubadili system nzima ya CCM escrow.
Makamanda hawajasinzia kama mikoa mingine, wamewahi kutuonyesha huko nyuma kwamba hawaogopi mapambano ya kisiasa kudai mabadiliko, wamewahi kuchukua mamlaka saa nyingine kwa mapambano makali na wakashinda, hawaishiwi umoja na mshikamano katika kudai haki.
Mikoa hii imekuwa chachu kubwa hata kwa vyama vya upinzani kueneza siasa yake hadi vijijini.
Sasa naitaja
1.Arusha
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Mara
5.kigoma
6.Rukwa
7.Mbeya
8.Kilimanjaro
9.Kagera
DAR ES SALAAM bado wanakula kwanza miguu ya kuku na kahawa plus simba na yanga.
Karibu wadau kwa maoni, mapendekezo na marekebisho.
Pia ushauri wapi UKAWA waongeze nguvu kukaribisha ushindi mapema 2015.

Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.
 
Tukiongelea Mikoa, miji au vitongoji tunakosea. La msingi ni watanzania wamekifika vipi na uongozi uliopo madarakani. Ukisikia maoni ya walio wengi hawahitaji vyama ila wanamlilia Mungu awape kiongozi atakayewaondoa watanzania katika hali hii ya umasikini, njaa na umauti uliotukumba watanzania. Wengine wanaona vibaya mbwa zao kuwapa mifupa na kuwanunulia vidari na steki. Lakini asilimia 80 ya watanzania wanaishi kwa mate yao machungu. Vyama si suluhisho. ila ni Kiongozi yupi safi, mzalendo, mwenye utu atakayeiokoa Tanzania?
 
mkoa wa mwisho kudai mabadiliko utakuwa mkoa wa Pwani,na wilaya ya mwisho kudai mabadiliko itakuwa wilaya ya Chalinze
 
Shiit unanyea kambini eti dar wanakula miguu ya kuku na kaskazini wanashindia nin?mtoto wa miaka 6 kafa kilimanjaro kwa pombe kali inayopigiwa chapuo na chadema,wadanganyeni huko huko vijijini lkn dar es salaam mtakuskia tu huku watu si wajinga watu wanajielewa,hyo nyerere harakati za uhuru kazfanya wp?chini ya nan?km sio wazee wa dar ungekuwa unakoloniwa mpk kesho,ndio maana hamna influence jijini nendeni huko kwa washndia mbege sisi tuacheni na ccm yetu
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Propaganda yako dhaifu wahamiajindio nini sasa Mwanza ni mpakani au hata geographia ya darasa la 4 hukuwahi soma?
 
ubungo na Kawe ziko wapi?
 
Mhonzuyadilu sio mikoa bali ni miji tisa . sasa hiyo miji tisa ambako mnao washabiki tu na sio wapiga kura unategemea ati mtatung'oa madarakani....nenda wilayani katika mikoa hiyohiyo utaona wilaya nyingine tumechukua mitaa bila kupingwa na kwingine mko dhaifu... Huko kwenye hiyo miji tisa nakuhakikishia aidha tunazoa viti vyote au tunagawana viti

Hebu wape SIFA jamaa wa UKAWA kumbukeni mwaka 1992 nyie mmetumia Rasilimali tulizochuma wote mkafanya zenu...Lkn watu wa upinzani wameanzia ZIRO mpaka walipofika heshima lazima wapewe kwa udhaifu wa chama chenu km nanyie mngeanzia ZIRO cku nyingi mngeshakuwa chama cha UPINZANI sababu tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza hakuna kitu mmefanya...!
 
Propaganda yako dhaifu wahamiajindio nini sasa Mwanza ni mpakani au hata geographia ya darasa la 4 hukuwahi soma?

Mwanza kuna wahamiaji haramu kibao Kuanzia wanyarwanda,Wakenya,waganda Kama hujui mwanza inapakana na nchi gani basi nikuache nIkusamehe
 
Shiit unanyea kambini
eti dar wanakula miguu ya kuku na kaskazini wanashindia nin?mtoto wa
miaka 6 kafa kilimanjaro kwa pombe kali inayopigiwa chapuo na
chadema,wadanganyeni huko huko vijijini lkn dar es salaam mtakuskia tu
huku watu si wajinga watu wanajielewa,hyo nyerere harakati za uhuru
kazfanya wp?chini ya nan?km sio wazee wa dar ungekuwa unakoloniwa mpk
kesho,ndio maana hamna influence jijini nendeni huko kwa washndia mbege
sisi tuacheni na ccm yetu

chadema ina wabunge, madiwani na wenyeviti hapa dar, ondoa povu
 
Mnajipa matumaini hewa halafu mwisho wa siku, mnakuja na porojo za kuibiwa kura!
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.

Una maaana serikali iliyopo madarakan imeshindwa kudhibiti uhamiaji haramu?...bas tuitoe madarakan haifai kabisa kwa point zako hizo
 
Mwanza kuna wahamiaji haramu kibao Kuanzia wanyarwanda,Wakenya,waganda Kama hujui mwanza inapakana na nchi gani basi nikuache nIkusamehe

Ni Nchi gani zinapakana na Mkoa wa Mwanza? Sie tunaoishi Mwanza hatujui,hebu tusaidie. Suala la kuwa na wahamiaji haramu katika Jiji la Mwanza halikwepeki. Hata Dar imejaza wahamiaji haramu. Wengine ndo wasemaji wa ofisi kuu! Ndani ya CCM pia kuna wahamiaji haramu kibao,ndani ya jeshi wameripotiwa wahamiaji haramu. Sijui kama ulitafakari kabla hujatoa hoja yako.
 
Hiyo mikoa uliyotaja ni ya mipakani TANZANIA inakopakana na nchi zingine imejaa wahamiaji haramu wengi wanaojitia kujiingiza na kupenyeza itikadi zao za kimaruhuni kisiasa kupitia upinzani hasa CHADEMA.Yaani CHADEMA ni kisemeo cha wahamiaji wa nje na mataifa maruhuni ya nje.
Inaeleweka ni kwa nini CHADEMA inapendwa na kufadhiliwa hasa na Baadhi ya watu wanaokaa kwenye hiyo mkoa ya mipakani.

Na ndio maana Hata SLAA kiongozi wa CHADEMA alipinga sana Tanzania isiende kuwachapa M23 na isiwavurumishe wahamiaji haramu.
Freeman Mbowe alishawahi tamka kuwa nchi haitatawalika akijivunia hao wahamiaji haramu wakaao katika hiyo mikoa uliyotaja.Kipigo kwa M23 kilimfanya aufyate na aanze angalau kufikiria kutumia siasa za kistaarabu yeye na babu yake SLAA.Pigo kwa M23 lilikuwa pigo direct kwa CHADEMA na sera zao za kusema nchi haitatawalika.Pamoja na mbinu zingine ambazo CHADEMA imejaribu nchi isitawalike za kisiasa na kimaruhuni lakini TAI WA TANZANIA HAWALALI KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA SALAMA NA INATAWALIKA NA WANANCHI WANAISHI KWA AMANI NA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA

Hiyo mikoa mingine uliyoitaja kuwa imelala kisiasa kwa kutounga mkono upinzani kwenye kura ikiwemo DAR ES SALAAM ni mikoa ya watanzania halisi wazawa wenyewe ambao Hakuna mhamiaji haramu aweza wanunua wala kuwalisha itikadi zao za kipuuzi .
CHADEMA ni chama mwakilishi wa maslahi ya wageni wakiwemo waliotutawala wajerumani na waingereza kama kilivyo chama cha MDC cha Morgan Tsivangirai cha kule Zimbabwe.
Hivi CCM kwa maana ya Mwenyekiti alimuondoa Kanali Fabian Massawe kuwa mkuu wa Mkoa kwa sababu ya kusema nini vile?
 
Mhonzuyadilu sio mikoa bali ni miji tisa . sasa hiyo miji tisa ambako mnao washabiki tu na sio wapiga kura unategemea ati mtatung'oa madarakani....nenda wilayani katika mikoa hiyohiyo utaona wilaya nyingine tumechukua mitaa bila kupingwa na kwingine mko dhaifu... Huko kwenye hiyo miji tisa nakuhakikishia aidha tunazoa viti vyote au tunagawana viti
nitasema kweli daima. uongo mwiko kwangu.
Ulichosema kina kweli kwa 90%. Upinzani upo strong kwenye miji tu. huko vijijini mtu asikuambie kitu. wengi hawajielewi ndo maana mfano matokeo ya kule kalenga yalikuwa kinyume kabisa na matarajio ya wengi. binafsi niliamni chadema wangechukua lile jimbo ukiliacha la chalinze, lakini wapi! only 20% voted for opposition.
 
Back
Top Bottom