<br />Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.
Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.
MIKOA MIPYA HATUHITAJI NA HAINA TIJA KWETU BORA HIZO PESA WAZINUNULIE MADAWATI NA KUJENGA MADARA.SIKU TUKIWA NA CHAMA CHENYE KULETA MAENDELEO KWELI TUNAONDOA NAFASI ZA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA HAWANA WANACHOFANYAKwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.
Ni kweli mdau,katika hali ya kawaida unaweza usielewe kipi ni kipi katika swali ulilouliza. Kimsingi,uanziswhaji wa maeneo mpya za kiutawala una hatua zake kabla ya kuanza rasmi. Moja ya hatua muhimu ndio hii tunayoiona hapa. Kwanza kabisa wananchi wa huwa ndio wanaotoa mapendekezo kwa mamlaka zinazohusika(Rais) kupitia kwa wawakilishi wao(wabunge na madiwani) juu ya haja ya kuanzishwa kwa maeneo mapya ya kiutawala (tarafa,wilaya,na Mikoa).Lengo kubwa likiwa ni kurahisisha na kusogeza huduma kwa katika maeneo yao. Maombi hayo yakimfikia Rais huyatafakari kisha kutoa uamuzi wa ama kuunga mkono au kutokuunga mkono. Endapo Rais ataunga mkono uanzishwaji wa maeneo hayo ya kiutawala (kama alivyofanya sasa) atalazimika kwa kwa mujibu wa sheria kutoa tangazo rasmi la serikali (government notice) ili kutoa fursa kwa wananchi wa mikoa husika kujadili mapendekezo yaliyomo kwenye tangazo hilo hususani makao makuu ya maeneo hayo mapya kiutawala. Lakini pia anaweza asiunge mkono mapendekezo hayo kama ilivyotokea kwa baadhi ya maeneo kutokana na sababu fulani fulani.Sasa nadhani tatizo kubwa liko kwenye sentensi"kama wanakubali maeneo yaanzishwe au la " . Maneo hayo yanaweza kuchanganya hasa tukizingatia kuwa mchakato wa uwepo wa maeneo hayo ulitoka kwa wananchi wenyewe. Sasa nini huwa kinaaminshwa hapa? Ni kwamba,inawezekana kabisa maoni ya wananchi wengi wa maeneo husika wasikubaliane na suala la mipaka na miji iliyoteuliwa kuwa makao makuu ya maeneo hayo.Ikitokea hivyo, basi mwisho wa siku wananchi wanaweza kuamua kwamba hatutaki tena uwepo wa maeneo hayo mapya angalau kwa sasa, mpaka hapo tutakapokubaliana katika mambo ya msingi.Sijalewa. Mikoa mipya inaanzishwa kisha ndiyo iangaliwe kama ina hitajika????????????
<br />Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011. Wananchi watapaswa kutoa maoni yao kwa siku 30 kama wanaihitaji au la.Naomba kuwasilisha.