Kwenye umaskini Totoro ndipo kwenye fursa kubwa. Kuna wahindi fulani wanaita Kampuni yao Shinyanga imporium walianzia maisha Shinyanga, zamani huko, kufikia miaka ya 2000 walikuwa Dsm wakisafirisha spare za baiskeli toka nje na kuuza Tanzania nzima.
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Shinyanga ukienda kahama unatoboa sema wana hela ila hawana plan nyingi za biashara we ukienda kuanzisha biashara kwa mtaji wa kawaida tegemea kuna matajiri watakuja kukuiga na kuiboresha kuliko yako ila haitazuia mzunguko wako