Ustawi wa ndizi uko related na certain weather ambayo missionaries waliipenda hivyo wakajenga mashule na wakapata fursa za kusoma mapema na huduma zingine. scientifically proteins ndo inajenga brain. so to say wala samaki, dagaa, na nyama/ maharage wangekuwa juu zaidi. hivyo si kweli kuwa wako hivyo kwa sababu ya Ndizi, it is historical.