permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,475
- 15,277
Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.
Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.
1.MBEYA-unaongoza
2.RUKWA
3.MWANZA
4.MUSOMA (mara)
5.SHINYANGA
6.IRINGA
7.RUVUMA
8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo
Zamiluni Zamiluni;10606374]Basi tuwende UKEREWE ?
Kwani ukerewe ipo mkoa gani? Au ni mkoa! Naona geography ni tatizo.
Mkuu umejuaje yote hayo?acha uwakala wa kabang!
Acha matusi wewe. Utamwambiaje mwanaume mwenzako utumbo huo? Be a great thinker!
Tumeona post yako,ahsante kwa uwepo wako!
Wewe ni KE ma ME?
kama ME je unao huo urijali?
Kama ni KE je mwenzio ano huo urijali?
je anatoka katika mikoa alosema?
BTW uanaume ni shida sana especially lijapo swla la urijali.
Hya kazaneni kuutafuta if not kuuongeza
Acha matusi wewe. Utamwambiaje mwanaume mwenzako utumbo huo? Be a great thinker!
Oh....then researching is useless
Acha kudandia meli ya mgiriki wewe,hebu nionyeshe sehemu alipojitambulisha kuwa ni ME au KE.Pia nimeandika nikimhusisha na KE coz post yake inavionjo na mirindimo ya Taarabu ambvyo wahusika wake wakuu ni KE.
si kweli: kuna researchi huwa zina baki kuwa theory tu inaonekana umekremisha mkuu
huu udwasi umeletwa na mdwasi, me najiweka pembeni kuepusha msongamanoHahahahah again? teh teh teh, alafu mashaka makubwa haya ulijuaje kuwa ni malijali? pia samahani we ni ME au KECc Mamaafacebook, miss chagga, tabibumtaratibu embu pitia hapa uone huu udwasi!
Mafikizolo wala hajaniacha mbali, niko hapa nafatilia huu udwasiaaaaah mafikizolo is you again... I dont bilivu... Umemuacha wapi tabibumtaratibu misschaga Mamaafacebook na GRAni11
1-sina papuchi
2-sijaua
3- sibebi mimba
nyongeza ni kwamba mimi ni ME
Maana ya rijali
1. Mwanamume mwenye nguvu za kiume nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.Uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.Uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto.
Hizo ni sifa kuu za rijali sasa kwa utafiti fulani niliofanya nimegundua kuwa mikoa ifuatayo inaongoza kwa kuwa na wanaume rijali na hata wanawake wa kaskazini wamekiri hivyo.
1.MBEYA-unaongoza
2.RUKWA
3.MWANZA
4.MUSOMA (mara)
5.SHINYANGA
6.IRINGA
7.RUVUMA
8.NJOMBE
Mikoa mingine inafuata hapo
kaka tabora sijata sifa yao katika mapenzi zaidi ya kuwa na hali mbaya za kimaisha
tukafanye nini?? Ukelewe si uchawi tu
Hahahahah again? teh teh teh, alafu mashaka makubwa haya ulijuaje kuwa ni malijali? pia samahani we ni ME au KE
Cc Mamaafacebook, miss chagga, tabibumtaratibu embu pitia hapa uone huu udwasi!