Mikoa ifuatayo inatoa marijali

hebu eleza methodology uliyotumia maana majibu yanategemea na approach.

kaka lizika na hizo data... Ni approved kabisa... Hakuna haja ya kukutajia methodology mimi sio lecturer wala mwalimu nianze kukufundisha methodoloji
 
Sina hakika na mikoa yote hapo juu ila umesahau mkoa wa MOROGORO kwani wengi wao wanakula samaki kwa wingi ambao ni kichocheo kikubwa cha kuwa rijali na kuwa na mbegu za kiume za kutosha hasa wilaya ya Kilombero.


 
kwa hiyo mikoa iliyobaki michelemichele au vipi ?
 

usipoutaja mkoa wa Kigoma as number 1 research yako inatakuwa na mashaka
 
Sina hakika na mikoa yote hapo juu ila umesahau mkoa wa MOROGORO kwani wengi wao wanakula samaki kwa wingi ambao ni kichocheo kikubwa cha kuwa rijali na kuwa na mbegu za kiume za kutosha hasa wilaya ya Kilombero.

kuchochea nguvu za kiume sio ulijari mkuu... Hiyo mikoa watu wapo natural ndivo walivo zaliwa...
 
Hongera kwakukamilisha research yako kwakutembea na takribani Me wa mikoa yote na kufanikiwa kuridhishwa na wa Mikoa 8 tu!

Swali ninalo jiuliza ni je hiyo papuchi yako ipo ktk hali gani kwasasa?

Pili,je unawatoto wangapi baada ya kukamilisha utafiti wako?

Tatu,umeshaua viumbe vingapi kwasasa?
Maana utafiti wako ili ukamilike ni lazima ujiridhishe kwa kushika mimba na kufikia climax point.
 
Duh, kama JF ingekuwa na nafsi hai, ingekuwa marehemu siku nyingi sana; kila aina ya mawazo yamo humu.
 

1-sina papuchi
2-sijaua
3- sibebi mimba
nyongeza ni kwamba mimi ni ME
 
Shika adabu yako kuna mkoa wa marijali zaidi ya tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…