The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
Ngoja waje hao wa Mikoa mingine wakuchambe!
Kweli we mayala hao wote wamekulamba noma!hongera je ulitoa na 0712
Na asilimia 90% ya marijali wako Darisalama........whats the point?
inamaana hao wanaume wa mikoa yote hapo walishakufunua mpaka ukadhibtsha??...ndio maana hatuoi ck hzi kama mwanamke anakua kashatumika namana hii ..
wewe ni ME au KE
hao wote ni wahamiaji toka iyo mikoa ndugu wanasaka maisha tu hapo.... Wanatoka mikoa hiyo apo juu
We kiboko, kumbe umekambwa na mikoa yetu! maana mpaka kufikia hatua ya ku-short list lazima sample iwe kubwa kwa maana ya mikoa yote. Na ili sample iwe representative lazima iwe na watu wa kutosha. Kwa maana nyingine ulipitia idadi ya kutosha kila kabila. Vip ukimwi umesalimika..maana uli test uwezo wa hiyo midume kuzalisha? na sijui umezaa watoto wangapi?
mkuu hii tafsiri yako ya nguvu za kiume (kwa red) ni ya kwako kwako au umeitoa mahali? source plz!
nguvu za kiume inaweza kuwa ni kati ya mambo makuu mawili ya fuatayo
1.uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni (kufurahi)
2.uwezo wa kuzaa au kutengeniza mtoto
Tanga,Dar, Zenji !!!
nilifanya oral interview: kwa kuwauliza watu wa mikoa mingi nao wakapendekeza hiyop hapo juu.... Acha matusi
Ndio swali langu whats the point?