Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka pesa
Screenshot_20181106-230847~2.jpeg
 
uefa kama kombe la dunia tu yan timu za watoto uefa nimepiga lak na nusu nimepigwa lak liver huyo had sasa tot nae ndo huyu anasepa na laki jana metz kaenda na na 80k mm ntakuwa nasubir zangu jmosi na jpili tu kama mwendo huu timu hazielewek
 
Pole sana ndio ukubwa huo mkuu siku mambo yakikataa ni kumrudishia tu mrusi pesa zake, hiv kwel liver ni kupigwa mbili kavu na hawa madogo yaan kashindwa kutoa hata over 0.5 kwel?
uefa kama kombe la dunia tu yan timu za watoto uefa nimepiga lak na nusu nimepigwa lak liver huyo had sasa tot nae ndo huyu anasepa na laki jana metz kaenda na na 80k mm ntakuwa nasubir zangu jmosi na jpili tu kama mwendo huu timu hazielewek
 
Tamaa imekuponza mkuu.. Nilishajiwekea utaratibu wangu.. nikifikisha hesabu ya siku huwa nafunga ofisi. Zamani nilikuwa nakula asubuhi, naliwa jioni.. nikaona ni ujinga.

Hilo nalo neno mkuu kinachotuponza wengi hatuna ukomo me nilishakula elfu 50 within a minute nikamrudishia tena mrusi na mtaji wangu akasepa nao yaan kama ngada vile sema nitajitahid niwe na ukomo nikila bando namalizia youtube nisipate hata notification za ndoano za humu ndani mpaka siku inayofuata.

Back
Top Bottom