Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashindaMkuu, Qarabag ni habari nyingine kabisa, Azerbaijan hakuna timu bora zaidi yao wameitawala sana league hiyo.
Pole bossYaani Leo Nimeliwa kweli na Muhindi?
Acha utapeli.kama unauwezo weka vitu hadharani tuangaalie uchambuzi wako.Ambae anahitaji kuacha betting ila bado anashindwa basi anaweza kunipm nikamsaidia tips za muhimu sana. Niliteseka kwenye huu uraibu ila nimelishinda kwa kishindo kikubwa, natamani niwasaidie wenzangu wengi. Sihitaji hata mia yako.
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.Tujaribu hiyo. View attachment 2905076
Vipi unataka kuacha kamari?? Unaonekana unauraibu mkubwa.Acha utapeli.kama unauwezo weka vitu hadharani tuangaalie uchambuzi wako.
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Wengine hatukudharau Mkuu..Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Shida picha kufunguka huwa ni issue.. mi code nyingi humu huwa nafata sanaNajua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
mkuu mi natumia njia za babu ananitokea usiku kama mzimu nakunipa maujanja kampun zote nabetia ilimlad wamesema jackpotHongera mkuu, kampuni gani? Ulitumia mbinu gani? Mwaka wa 3 huu najaribu sishindi hata bonus
Ishu ni picha kutofunguka lakini pia watu wengi hawana mtaji wa odds chache. Wanataka kuweka 100 mkeka usome 85M. So tuvumiliane tu hivyo hivyo.Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Option nzuri hiiSportybet
Option mpya hii nimeitoa huko kwa wapopo
C1A62C8
Naunga mkonoQarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashinda