Mike Tyson kasema kwamba alilawitiwa akiwa na umri wa miaka 7

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Kaeleza hayo akihojiwa na mwanahabari wa ESPN, ndio maana akaamua kuwa the toughest in the world/ alifanya siri akihofia watu kum-judge. Baba huyo wa watoto 8 anasema it made him no less of a man. (Haijampa mapungufu kama mwanaume)

42A76C0000000578-4726286-image-a-33_1500932554904.jpg

42A7421500000578-4726286-image-m-14_1500931613568.jpg
 
Alibakwa mbele au Nyuma?
Kama alibakwa na Mwanaume itakuwa Nyuma Kama na Mwanamke itakuwa mbele sasa Toa ufafanuzi
 
Mwanaume unabakwaje sasa
Hiii kali

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Anabakwa!

Kulawitiwa ni kuingiliwa kinyume na Maumbile bila ya kujali Mhusika Kama karidhia au laa
Kubakwa ni kufanywa/kufanya bila ya ridhaa
Kuingiliwa kinyume na maumbile inaeleweka.

Kubakwa ni lazima mbakwaji awe na jinsia ya kike

Kwa mfano hata mtoto wa kike akilawitiwa huwezi

kusema amebakwa!

Kaka kiswahili kigumu sana!!?
 
Kuingiliwa kinyume na maumbile inaeleweka

Kubakwa ni lazima mbakwaji awe na jinsia ya kike

Kaka kiswahili kigumu sana!!?

Hiyo uliyosema kubakwa ni lazima awe na jinsia ya Kike ni Kanuni ya Kisheria sio ya Kijamii!

Kijamii hata Mwanaume anabakwa, kidini hata Nabii Yusuph alinusurika Kubakwa na Mke wa Mfalme

Ngoja nikupe Mfano mmoja!

Mwanaume anaelawitiwa kwa hiyari yake na anaelawitiwa kwa nguvu bila ya ridhaa yake tunatofautishaje kwny ku report?

Wote wanakuwa wamelawitiwa lakin mmoja anakuwa kabakwa ( kalawitiwa kinguvu)
 
Kwenye usahihi wa Lugha ya kiswahili,ngoja nimuite FaizaFoxy hebu kuja pande hizi utusaidie kwa kiswahili fasaha.
 
Back
Top Bottom