Captain Doug
Member
- Jul 24, 2015
- 60
- 20
nafagilia sana old school...enzi hizooo kipindi hakuna team za kipuuzi puzi
Familia bora huyo kitambo kidogo nilimuona Kariakoo yupo kwenye business na Mshua wake mzee Mwakatundu ni moja madoni pale Iringa. Inasemekana Alipokuwa std 7 alikuwa ni kigari chake.Huyu Mike T yuko wapi?
Kumbe, jamaa kapotea mazimaFamilia bora huyo kitambo kidogo nilimuona Kariakoo yupo kwenye business na Mshua wake mzee Mwakatundu ni moja madoni pale Iringa. Inasemekana Alipokuwa std 7 alikuwa ni kigari chake.