Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Wanaosifia mchakato mzima wa ununuzi wa ndege ndio hawa hawa waliosifia mradi wa ujenzi ya reli kati ya serikali ya Tanzania na China kama huu uzi hapa chini unavyotabanaisha:
Reli ya Kati: Benki ya Exim (China) wakubali kutoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serikali ya Tanzania
Sasa kwa kuwa watu ni wale wale,nini kinachotupa uhakika katika huu ununuzi wa hizi ndege kuwa kila kitu kiko sawa?
Kama ni salama au si salama muda ndio utaongea.
"Once bitten,twice shy"