Mikataba ya maslahi kwa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikataba ya maslahi kwa taifa letu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by newmzalendo, Jul 31, 2011.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  NAOMBA tuweke list ya mikataba ya kitaifa inayosiniwa na viongozi wetu kwa kutuwakilisha watanzania.e.g Mikataba ya Mafut,Ges,Ulinzina Madini,Mali Asili,Ardhi etc

  1.Richomnd na Tanesco(wizara ya nishati na madini
  2.Richmond na DOWANS (Tanesco)
  3.
  4.
  5.
  6.
  The list goes on...

  Nia na lengo tuwe na uelewa wa mikataba viongozi wetu wanayoingia kwa niaba yetu.na pia tutaweza kupima uwezo wa viongozi wetu kiuzalendo zaidi
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Tazara
   
Loading...