Mikataba ya kimahaba katika mafuta, gesi haitaondoa umaskini

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
gesi tanzania.jpg

ACHANA na ugunduzi wa gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara, tunaambiwa nusu ya eneo la Tanzania ina miamba inayohifadhi rasilimali za mafuta na gesi asilia ambazo ni muhimu kiuchumi, eneo ambalo bado halijafanyiwa utafiti.

Dk. James Mataragio, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), alikaririwa akiema hayo mwaka 2015 katika mkutano wa kimataifa ulioshirikisha wadau wa kimataifa wa mafuta na gesi jijini San Antonio Marekani.

Akasema TPDC iko mbioni kufanya utafiti wa kitaalamu uitwao “Airborne Gravity Gradiometer Survey” katika maeneo ya nchi kavu Kusini-Mashariki mwa Pwani ya Tanzania na upande wa Mashariki mwa Bonde la Ufa maeneo ambayo jumla yake yana ukubwa wa kilometa za mraba 30,000.

Soma zaidi hapa => Mikataba ya kimahaba katika mafuta, gesi haitaondoa umaskini | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom