Kazi ya mkataba ni nzuri kila mahali, si kwa waalimu tu. Nionavyo inaongeza tija, uwajibikaji na uadilifu. Lkn km mfanyakazi anajijua kua yy ni permanent na pensionable anakua hana hofu ya kua mwadilifu, mchapakazi hodari, mwadilifu na mwenye tija. Kinyume chake atakua mvivu, mlalamishi na mkosefu wa ubunifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni za serikali ndio wanafeli.
Binafsi wanafaulu.
Jibu ni moja serikali haijali walimu.
Wazo lako ni zuri linalenga kuleta msisimko chanya ila kuna tatizo Kubwa kwenye Elimu ya watoto Wa taiga hili .hello JF,
Sijui kama hio system ipo au bado,
Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,
sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,
Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,
kama hakijabadilika kitu,
then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,
mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............
kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.
This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol
najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.
tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.
Unaishi wapi wewe,nani amekuambia wahudumu wa afya wanatoa huduma nzuri.
(Uliwahi kusikia habari ya mtu kupiga chafya akiwa chumba cha kuhifadhia maiti).
Ukitaka huduma bora za afya nenda binafsi.
Ungekuwa unaishi Tanzania ungefahamu chanzo cha wanafunzi kufeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisha mwanao peleka private,problem solved! shule za serikali zikikosa wateja zitafungwa kwa mshahara gani wa kuwakalia wenzenu kooni hivyo?watoto wenyenye kila kukicha wanapiga walimu na kupata mimba kuna wasomaji hapo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
lipi hilo nisemalo?lol
Uliloliandika...hujui mazingira halisi na jinsi elimu inavyotolewa haswa vijijini
Too low. Every comment is accompanied by lol. What does it?mkuu weka wazi yote,haijalishi tumetoka wapi.lol
Stop childish argument be seriouslipi hilo nisemalo?lol