Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
hello JF,
Sijui kama hio system ipo au bado,
Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,
sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu tukategemea matokeo tofauti,
Kwa mfano,Dar na Mtwara,shule zilikua za mwisho mwaka jana,
kama hakijabadilika kitu,
then matokeo mabaya yatakuja na mwaka huu tena ,
mtanilaumu,lakini niko upande wa wazazi wanaopoteza mamilioni ya ada,only vijana wao kupata four ama zero..............
kukiwa na walimu ambao hawako competent,hii system itawatema,sababu baada ya miaka miwili kama anaperform vibaya,haongezewi mkataba.
This also means,wale walimu wazuri tu ndio wanaajiriwa,na walimu wabovu wanakua OUT,lol
najua mtaanza mwanafunzi wanatakiwa wajisomee wenyewe,ila asikwambie mtu mwalimu akiwa mzuri,utaenjoy somo. Akiwa mbaya utachukia tu,kwa sasa hatuna option,unakaa nae hivyo hivyo.
tena kama wanafunzi wa boarding ndio kabisaa hili linawahusu.