Mikasa ya mahusiano ya shule

Mapenzi ya utotoni ni vichekesho!

Mimi niliandikaga barua kwa kalamu nyekundu 😁!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli wewe kiboko udugu
Eee nambie ulichoandika basi, lete ubuyu huo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli wewe kiboko udugu
Eee nambie ulichoandika basi, lete ubuyu huo
Nakumbuka sasa uduguuu!! Nahisi nilichorachoraaa tu sijui hata nilichora kitu gani🀠🀠🀠🀠!!
 
Niko la 7 siku yangu ya kuzaliwa nikaletewa zawadi na binti wa darasa la 6, ofcz alikuwa akinikubuli toka akiwa la 5 mie la 6.
Akawa mpenzi wangu, nikaenda form 1, 2 mpaka nafika 6, alikuwa ni mpenzi wangu binti tabia zimenyooka, namuona huyu mke kabisa.
Kuanzia 4m 2 hivi zaidi ya kukutana nae na kumchezea kisha nikamnyonya papuchi, sikuwahi kumtia DUNGUSO, ujana wangu nilioanga sintavunja bikra ya mtu labda yule ambae ndio nimemuoa.

So binti ikawa tunakutana tunafanya michezo yetu naitizama tu bikra ipo, ila mie nikawa nanjunja pembeni bila ya yeye kujua,..
4m 1 nilizingua nikatimuliwa shuke nikaenda kuanza upya, tukawa vidato sawa,
Dah, kufika kidato cha 6 hivi nikaja umbuka kwanza kuna manzi nilikuwa nabembeleza mdogo mdogo toka nipo form 4 kwao arusha, sasa hapo mwishoni tumepiga pepa ya 6 tayari napokea simu namba ngeni, sauti inafanana na yule demu wa arusha, namuuliza we uko wapi ananiambia yupo arusha ila hajanitajia ye nani, kumbe ye kamaliza pepa weruweru high school katulia arusha anajipanga kuja dar.
Nikajichanganya nikataja jina la yule demu mwingine.. Ikawa kesi, ila nikaweza kuisolve alipokuja dar, baada ya muda anapata taarifa nimepata mtoto, nilitia mimba nikiwa form 5 mwishoni.
Akabwaga manyanga yule binti, ila nakumbuka yale mapenzi yake, alikuwa ananipenda.
Katika wanawake waliowahi kunioenda kwa dhaaati kabisa nae yupo kwenye kundi, shida ujana wangu ulikuwa na mazonge mengi mnooo
πŸ˜‚πŸ€£
 
Mapenzi yenu yalikuwa yanafikia levoz za kukazana?
Hapana, ilikuwa tu kuwa pamoja muda mwingi nakumbuka we kissed mara Moja au mbili hivi. Na kuongea kwa simu (landline)
 
Nakumbuka sasa uduguuu!! Nahisi nilichorachoraaa tu sijui hata nilichora kitu gani🀠🀠🀠🀠!!
Mwenzio nilikuwa nikitongozwa naenda kusema kwa mama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi vya kuandikiana barua sijawahi ila nakumbuka kuna jamaa alikuwa ananipenda kuniambia hawezi, sasa kuna marafiki zake wawili wote walikuwa wananipenda basi wanamuomba yeye ndio awasindikize kuja kunitongoza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi wakija yule jamaa hataki kuondoka anataka asikilize jamaa yake ataongea nini??!
Na mimi nikamkataa yule mshkaji wake basi tukikutana ananipongeza, safi atakuharibia maisha yule usimsikilize. Nikawa nashangaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ningeshangaa nisingeona comment yako ndugu mwenyekiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anamchomea utambi mwenzie kumbe nae anakupenda hahaa 😁😁!
Mapenzi ya utoto vituko sana!
 
Hahahaa mwamba ulituangusha sanaaa yaani we ndio nalia badala ya pisi
 
 
Anamchomea utambi mwenzie kumbe nae anakupenda hahaa 😁😁!
Mapenzi ya utoto vituko sana!
Jamaa alikuwa ananichekesha kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku aliyokuja kufunguka nilicheka mpk machozi, akabaki ananishangaa ikabidi naye acheke πŸ˜‚
 
Namshukuru Mungu sana kusoma na umri mdogo .La kwanza mpaka la saba nilikuwa sielewi chochote kuhusu mapenzi.Form 1 mpaka 3 nilikua bado pia na nilikuwa na bahati mbaya .Sikumbuki kama kuna binti yoyote alishawahi kunipenda mimi.Kidato cha nne ndio nilianza kupenda .Nilimpenda binti mmoja kutoka ndani ya moyo wangu.Wana walishaniletea mpaka room nipige dudu nikashindwa.Huyu nilikutana naye tena chuo akaonesha interest ila kwa mali nilizokutana nazo nilikuwa namuona kibungo tu.Nimechoka ila chuo ndio nilipata mwanamke alienipenda tuna mtoto mmoja.Kwa sasa nimekuwa kamalaya na kalevi namsumbua tu mtoto wa watu.Mungu nisaidie.
 
nimechekaa had baas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…