Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Wakuu habarini za kazi

Kuna jamaa kanifata inbox kaniambia nisimalizie kusimulia hiki kisa kwani anataka kunipatia hela halafu yeye akinunue akiandike kwenye kitabu hivyo nikisimulia chote anaweza akakosa wateja!,Bado hajanambia anataka kunipa bei gani ndo namsubiri anieleze vizuri!

Nyie ndugu zangu mnaonaje?
Mkuu hapa jf tuko watu wachache sana ukilinganisha na idadi ya watanzania ote malizia tu halafu na yeye mfanye biashara kwa namna nyingine inayowezekana.

Wengine hapa tunatamani upost kila baada ya dakika 5 sasa ukiacha hadi tuje tusubiri hicho kitabu ni mda mrefu sana mana kitabu hakitumii siku moja kuandikwa.

Please mkuu malizia tujifunze
 
LwandaMagere

Hapana, usikubali. Kataa kabisa.

Kwa kisa hiki kuna roho za Watu zinaenda kuponywa. Huu ni utumishi mkubwa sana.

Hizo hela hata ukipokea hutafanyia chochote cha maana kwenye maisha yako, itakuwa Sawa na kujipotezea muda tu. Kataa hizo hela mapema, wala usichelewe.

Mungu hakushindwa kukupa huo utajiri Kwa hizo hustle ulizo hustle, lkn Mungu alitaka uwe mjumbe wake ila kwa ufahamu wako ukajua una hustle kusaka utajiri.

Malizia episode nukta kwa nukta, bila kuacha hata neno moja
 
Wakuu habarini za kazi

Kuna jamaa kanifata inbox kaniambia nisimalizie kusimulia hiki kisa kwani anataka kunipatia hela halafu yeye akinunue akiandike kwenye kitabu hivyo nikisimulia chote anaweza akakosa wateja!,Bado hajanambia anataka kunipa bei gani ndo namsubiri anieleze vizuri!

Nyie ndugu zangu mnaonaje?
Achana na mkiritimba huyo

Wamegundua unatoa siri zao sio
 
Usikubali mkuu huo ni mtego, jamaa washajua unataka waanika siri zao zisijulikane. Watakumaliza hao kuwa makini, we malizia story hapahapa
Wakuu habarini za kazi

Kuna jamaa kanifata inbox kaniambia nisimalizie kusimulia hiki kisa kwani anataka kunipatia hela halafu yeye akinunue akiandike kwenye kitabu hivyo nikisimulia chote anaweza akakosa wateja!,Bado hajanambia anataka kunipa bei gani ndo namsubiri anieleze vizuri!

Nyie ndugu zangu mnaonaje?
 
MKASA WA PILI - Sehemu ya 16

Inaendelea.............


Tulipofika hapo Ziwani tulianza kushangaa hatukujua cha kufanya,lakini mi nkakumbuka kwamba yule Mzee Nchibaronda aliniambia kuna usafiri ungekuja kutuchukua pale na utakapofika sikutakiwa kupoteza muda!

Mpaka wakati huo hatukuwa na kitu chochote zaidi ya zile ngozi tulizovikwa kuficha nyeti zetu na vifaa vya kazi ambavyo kila mtu alipewa maelekezo kivyake!
Nguo nilizoenda nimevaa pamoja na pesa vyote niliviacha kwa babu Nchibaronda na alisema nitakapokamilisha kupewa utajiri huko nilipotakiwa kwenda ningevirudia hapo nyumbani kwake!
Kiukweli nilianza sasa kuwa na roho ya kikatili sana na kumbuka kwamba aliyenifanya mimi kwenda kuusaka utajiri ni yule shemeji aliyekuwa dada yake na Mme wa sista yangu mdogo!,Kiukweli yule shemeji nilikuwa nina hasira nae sana!

Basi baada ya muda kama wa nusu saa ulitokea upepo mkali hapo ziwani na kuangalia juu tuliona Ungo mkubwa(Huu ungo ni kama ule tunaopetea mchele majumbani)ukiwa unashuka,ulipofika katikati ya ziwa uliganda kwa juu,Nilikumbuka maneno ya Mzee Nchibaronda kwamba "Kabla ya yote nichukue ule unga wa albino nimwage ziwani"
Nilifanya kama nilivyoelekezwa,Ule unga niliumwaga kwenye maji ya ziwa na ndipo ule ungo uli shuka zaidi chini na ukatusogelea jirani tulipokuwepo lakini haukugusa maji.

Yule jamaa aliyekuwa na ile shilingi yenye tobo aliirusha kwenye Ungo na akawa wa kwanza yeye kupanda kisha nikafata mimi halafu wa mwisho alikuwa yule jamaa aliyekuwa na ile irizi ambayo tuliambiwa ni pasipoti huko tunakoenda!
Safari ikaanza kuelekea ziwani,Mambo yote hayo yanafanyika hapo ziwani tulikuwa tukiona sisi tu,watu wengine waliokuwa kando ya ziwa hawakuelewa chochote maana niliona wakiendelea na shughuli zao kama kawaida!
Safari ilisonga sana kuelekea katikati ya ziwa tanganyika,Tulipofika katikati ya lile ziwa kwa maana kwamba tulikuwa hatuoni eneo lolote la nchi kavu kaskazini,kusini,magharibi wala mashariki!.
Ule ungo ulianza kushuka chini hapo katikati ya ziwa na maji yakawa yanajitenga kama kutupisha!,Tuliposonga sana kwenda chini ya maji hatimaye tulifika nchi kavu chini ya maji na tukashuka hatimaye ule Ungo ulipotea!

Nilibaki nimeduwaa maana nikiangalia huko tulipo palikuwa ni nchi kavu na nikiangalia juu kulikuwa na maji,hilo eneo tuliloshuka lilikuwa ni Kubwa mno na lilikuwa kama uwanda!
Basi yule jamaa mwenye ile Irizi tuliyoambiwa ni pasipoti kuna maneno aliyatamka pale na akairusha ile Irizi kuelekea juu na ikapotelea juu kwa juu!,Kufumba na kufumbua ghafla tuliona majumba mengi ya kifahari na watu wengi wakiwa uchi wa mnyama na kila mtu aliendelea na shughuli zake!
Kumbuka hapo mimi kwa upande wangu nimefata utajiri na wenzangu wao walikuwa wameenda kufata nguvu za uchawi!

Wengi wa watu niliowaona huko walikuwa wanawake,japo wanaume pia walikuwepo lakini hawakuwa wengi sana!,Basi kwa mbali walikuja mabinti fulani kutupokea na walipofika hapo kila mtu walimsalimia kwa lugha yake!,Wale jamaa kwa kuwa walikuwa wanatoka Sumbawanga nadhani walisalimiwa kwa lugha yao maana sikuifahamu na mimi pia kuna mdada alinisalimia kisukuma!
Baadae mimi na wale jamaa tulitenganishwa,Wao waliekea nji yao na wale wadada wawili na mimi nilichukuliwa na yule dada mwingine aliyenisalimia kisukuma!

Niliendelea kushangaa sana kule chini ya maji namna kulivyojengeka na kulikuwa kuzuri sana,Naweza sema kwa uzuri ule hata Mwanza haikuona ndani!

Ndugu zangu hii dunia ina mambo sana na usije ukaona unaishi tu ukachukulia poa,Kila muda usiache kumshukuru Mungu kwa kila jambo na endelea kumshukuru sana Mungu kukuficha mambo mengi usiyaone!,kwa hali niliyoiona duniani huko kiukweli ni roho wa Mungu tu aliyenifanya mpaka sasa naandika hapa!,na ndo maana baadae niliamua kumtafuta Mungu kwa nguvu zote na kuachana na mambo ya ulimwengu ambayo muda si mrefu yatafikia tamati!

Basi yule dada alinichukua mpaka kwenye jumba moja ambalo nilikuta kuna jamaa wanasex hadharani na hawakuona taabu kabisa wala aibu yeyote!,Baadae nilikuja kufahamu kwamba wale jamaa walienda mle majini kama sisi na walienda kwa shughuli za kusaka kilichowapeleka lakini baada ya kufika huko walishindwa kujizuia na tamaa za ngono hatimaye walipofanya tu ngono ndipo hiyo kazi ya kufanya sex ikawa kazi yao masaa 24 usiku na mchana!,Yaani wanawake wote wa humo ndani walikuwa wanapewa huduma na hao jamaa usiku na mchana na hayo ndo yalikuwa maisha yao huko na wasingweza kutoka huko mpaka mwisho wa maisha yao!

Nilipofikishwa hapo yule dada aliondoka na walikuja madada wengine waliokuwa wazuri kama half - cast hivi,mmoja alinivua ile ngozi niliyokuwa nimevikwa kuficha nyeti na mmoja alinishika kuniingiza kwenye bwawa la maji yaliyokuwa na uvuguvugu na wakaanza kuniosha!
Nilioshwa na kupapaswa kila sehemu ya mwili wangu!,nililambwa kila sehemu ya mwili wangu na wakati huo uume ukiwa umesimama kama msumari!,Kiukweli ni rehema za Mungu tu sikuweza kufanya lile tendo maana wale wadada walikuwa na kila sifa ya kuitwa mwanamke!,wakati wakiwa wanaendelea kuniosha na kunipapasa kila mahali na kuzichezea zile nyeti zangu,nilisikia sauti ya Mzee Nchibaronda ikiniambia "Usithubutu kufanya ngono,ukifanya nao tu ngono umekwisha"

Ile sauti iliendelea kunisihi sana na sikuwa na namna ilibidi niitii ile sauti!,Baada ya muda kidogo walimaliza kuniosha na walinibeba kunitoa mle ndani ya maji na nilichukuliwa na mwanamke mwingine kupelekwa chumba kingine na wale waliishia pale!
Nilipoingizwa mle chumbani kulikuwa kuzuri ajabu na kulikuwa kukinukia marashi yenye harufu kali sana!
Yule dada aliyekuwa mzuri kama wenzie alinisogelea na kuanza kunipaka mafuta ambayo baada tu ya kugusa ngozi nilianza kuwashwa sana na aliniambia nisijikune,aliendelea kunipaka yale mafuta sehemu zote za mwili wangu,wakati huo kila mtu akiwa uchi wa kuzaliwa!

Baada kama ya dakika 2 niliachwa kuwashwa na nilijiona mwepesi sana na nilikuwa na ufahamu wa kupita maelezo!,Kuna mambo niliyafahamu ambayo yalipita uwezo wangu wa kawaida wa akili ya kibinadamu na ndipo nilifahamu kwamba hata ule unga niliopewa na mzee Nchibaronda kumbe ilikuwa mifupa ya Albino iliyokuwa imesagwa!,Kwa ufahamu na uelewa niliyokuwa nao huko ilibidi nimzuie mama asiwe na akili ya kunitafuta wala kuniulizia kwa wakati huo wote mpaka ntakaporudi Mwanza,na nilifanya na ikawezekana!
Basi baada ya hapo yule dada alinichukua akaanza kunitembeza na kunionyesha viunga mbalimbali vilivyohusika na vitengo mbali mbali!

Alinichukua mpaka kwenye mjengo ambao kuna watu kama mimi walienda kuusaka utajiri,Humo ndani kulikuwa na watu mbalimbali ambao yule dada aliniambia walikuwa wameenda kuusaka utajiri na akaniambia chochote ukionacho humo ndani nitakapofanikiwa kuondoka basi ikawe siri yangu vinginevyo nitapata taabu sana!
Kuna jamaa wawili ambao mpaka leo ninawafahamu na wapo hapa mjini Dar es salaam wakiendelea kutesa na kula maisha wakifurahia utajiri wao!,Mmoja yupo hapo mbezi beach ni tajiri mkubwa tu na mwingine anaishi maeneo ya Tegeta!
Siku moja namuona mmoja wapo kwenye TV anaenda kutoa misaada nikawa nacheka tu!

Nilipoingizwa mle ndani wote tulikuwa uchi wa mnyama na kulikuwa na baadhi ya wanawake lakini wanaume ndo tulikuwa wengi!,Basi nilikuta wenzangu wanaendelea kupewa mikakati ya namna ya kufanya!
Baada ya muda kidogo walitoka hivyo nilibaki mimi na mshikaji mmoja ambao tuliingia muda si mrefu!

Yule mwanamke alianza kusema "Sasa umekuwa mwanaume,na muda si mrefu utaelekea kwa Mungu wa ulimwengu huu ambaye atakupa masharti na ukiayaweza utakuwa tajiri mkubwa sana"!,Niliitikia "sawa"

Kiukweli toka nimeingia humo ndani ya maji sikuwahi kuuona usiku na sikuelewa hiyo ilikuwa siku ya ngapi mimi kuwa pale lakini baada ya kutoka nilielewa siku nilizokaa mle ndani!,na kwa wakati wote huo nilikuwa sihisi njaa!

Baada ya muda kadhaa ya siku hizo nilizokuwa humo ndani,tulichukuliwa mimi na wale wenzangu wote niliowakuta mle ndani,tulikuwa grupu la watu kama hamsini hivi ukijumlisha na wanawake waliokuwa kama 6 hivi!
Tuliambiwa tuelekee kwa Mungu aliyekuwa kwenye jumba moja la kifahari sana!

Tulifanikiwa kuingia mle ndani na tuliambiwa tusujudu mbele ya huyo Mungu,Kiukweli ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona mtu mnene kwa kiwango kile!,Yule Mungu alikuwa mnene sana mpaka kiti alichokuwa amekalia kilikuwa kimefunikwa na nyama zake!
Baada ya kusujudu pale kila mtu alianza kwenda kwake na kuanza kuelezea shida yake na kupewa maelekezo na baada ya hayo maelekezo aliondoka hapo ndani!

Mimi nilikuwa mtu wa nilikuwa mtu wa 49 maana walianza wale tuliowakuta kwanza na baada yangu kuna jamaa aliyenifuatia!



Itaendelea..................
Duh mpaka nimedindisha.....ila mkuu nipe connection ya huko majini..hasa hiyo sehem ya kuwagegeda pisis kalis
 
Lwanda magere iz turningi tu Ze Bold

giphy.gif




Anyway fanya unachoona ni bora lakini mpaka hapa ulipofika kama mtu atataka kuiba hichi kisa na akakitengeneza mwisho wa hii story ni rahisi sana. Maana mpaka hapo ulipofikia kuna details nyingi sana ambazo zinanoga na kusisimua.
 
Mkuu achana na tamaa ya pesa, we malizia story nayo itakuwa ni sadaka yako kwa wanao kufuatilia katika usomaji, pia jamii forum tupo wachache sana na ukilinganisha na idadi ya watu tz na nje na tz, yy kama kuuza atauza tu pindi akifanikiwa kuandika kitabu.

Nakushauri malizia ulilo lianzisha, achana na huyo msaka tonge, kama umeusaka utajiri kwa jasho na damu leo anakuletea habari za utajir mwingine kuptia kitabu.
 
Umeshasema Mungu kakuokoa ndomanaa ukaamua uje utoe ushuhuda hapa JF ili nasi tunaowaza hayo mambo tukapate kuokoka. Sasa ukisitisha kuleta story unadhani utakua umetuokoa au umetupa hamu zakuutaka utajiri wa namna hiyo??? Maliza story ili kila mtu apate chakujifunza. Trust me! Kupitia story yako hii utakua umeokoa watu wengi sana kuliko hata yaunavodhani.
 
LwandaMagere

Hapana, usikubali. Kataa kabisa.

Kwa kisa hiki kuna roho za Watu zinaenda kuponywa. Huu ni utumishi mkubwa sana.

Hizo hela hata ukipokea hutafanyia chochote cha maana kwenye maisha yako, itakuwa Sawa na kujipotezea muda tu. Kataa hizo hela mapema, wala usichelewe.

Mungu hakushindwa kukupa huo utajiri Kwa hizo hustle ulizo hustle, lkn Mungu alitaka uwe mjumbe wake ila kwa ufahamu wako ukajua una hustle kusaka utajiri.

Malizia episode nukta kwa nukta, bila kuacha hata neno moja
Ahsante kwa ushauri na mimi nimesema lazima NIENDELEE NA KISA HIKI ILI WATU WENYE TAMAA YA UTAJIRI WA KISHIRIKINA WAELEWE MADHIRA YALIYO HUKO KWA IBILISI


NITAENDELEA KAMA KAWAIDA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom