Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,783
- 21,019
typing error ila nina yakini kama umeona hilo kosa basi utakuwa na upeo wa kujua nilikuwa na dhamira ya kumaanisha nini.Pumba?
Ni kawaida samaki kupenda maji [emoji12]mambo yako hayo uyapendayo
Lakin nimependa ni muelewa sana akiwa hayupo tung.. Naamin atapunguza mana huwez kushindana na kampuni ama kiwanda cha pombe never ever.lastborn umekaangwaa haswa π π
[emoji1787][emoji1787]TUKISEMA SINGIDA NI KAMA SOMALIAJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Umenikumbusha Mtera pale. Nilienda kufanya issue flani pale nililala ki guesthouse kidogo kama hicho japo kile kilikuwa kizuri kidogo ukilinganisha na hiki cha kwako.Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Haina kuremba mkuu, ukapata na la kuchangia kwa rikiboyUmenikumbusha Mtera pale. Nilienda kufanya issue flani pale nililala ki guesthouse kidogo kama hicho japo kile kilikuwa kizuri kidogo ukilinganisha na hiki cha kwako.
Kimasihara kama kawa nilikamatia mgogo mmoja hivi.
Kwanini mkuu? [emoji1][emoji1787][emoji1787]TUKISEMA SINGIDA NI KAMA SOMALIA
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kwenda huko Londoni...nlilala hapo hapo ulipolala...ilifika saa 8 usiku Fisi kaanza kulia kwa Dirishani nlipolala! Asee asbh nlisepa chaap bila kuaga[emoji2772]Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kwenda huko Londoni...nlilala hapo hapo ulipolala...asee ilifika saa 8 usiku Fisi kaanza kulia kwa Dirishani nlipolala! Asee asbh nlisepa chaap bila kuaga[emoji2772]
Huu uzi naupenda Sana ni mwendo wa kupeana makavu laivu,tokea mwanzo ilianzaga habari ya boda vs walimu, ikaja ya kushobokea mademu kwenye uzi,ikaja ya makulumilla Arusha hahahahaha,,,_______Wanakera sana nawazoom tu, ujinga ujinga tu umewajaa, sisi tunataka vituki vya lodge wao wanaleta habari za mahenge sijui agness utumbo mtupu. Wapelekane PM huko kama hawana shuhuda wutulie. Wanaboa
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
ningelala kwenye gari tu. Chumba kama kaburi π π πJuzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.
NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Polisi konyo[emoji2]Miaka ya 2000 nikiwa zangu Morogoro, nilienda kulala kigest flani kipo ndani ndani mtaa wa mafisa. Nakumbuka hiyo siku nipo na bi mdada ndani askari wanapita kukagua maana kuna uharifu ulitokeaga, huku na kule kilichokuja kunisaidia niliandika taarifa za ukweli. Walioandika taarifa za uongo na ambao hawajaandika kabisa walisombwa na kutembezwa mtaani mchana kweupe ilikuwa noma sana.
Noma sanaKila aliyepita alikuw anaona obvious kwa tukio lile lazima mpita njia aogope mana anawaza hili jitu humu ndani linaweza kuwa limerukwa na akili [emoji1787]
Kuna gesti mbagala wanavyo vitanda hivi, ni kama umelala kwenye karo ya kuoshea vyombo.Kitanda kama kaburi [emoji2][emoji2]
Ila usingizi ulikuwa mtamu kabisa.[emoji23][emoji23]ningelala kwenye gari tu. Chumba kama kaburi π π π
Unajidanganya...Utastaajabu hata muuaji kabla ya kuua huomba Mungu.
Mungu hukupitisha katika mitihani hata ikiwa si mcha Mungu ili kukusogeza karibu zaidi na yeye. Huwez juwa labda baada ya kutoka salama matendo yangu pia yaliongoka na kuacha zinaa.
Linapokuja swala kuomba Mungu hilo daima huwa ni la Mola na kiumbe chake, maana hata Mungu alisema ni yeye pekee anaemjua zaidi mbora baina yetu. Hivyo sheikh/askofu hukumu tumuachie maulana.