kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,821
- 20,822
- Thread starter
-
- #181
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye huu uzi nadhan wewe ndo umekumbana na Mikasa ya ajabu !!!! Gest ina choo Cha nje Kama klabu za pombeNina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.
1.Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala
2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke
3.Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti,alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa
4.Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.
5.Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.
6.Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7.Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
HAHA HA HAHA HANilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.
Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelele huku dudu limesimama sitoshangaa 😬
Nina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.
1.Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala
2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke
3.Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti,alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa
4.Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.
5.Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.
6.Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7.Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
Kwakweli nikilinganisha na za wenzangu wanazoziandika hapa mimi bado mwanafunziUnaonekana huna dhambi nyingi
Shukuru Mungu pengine wewe sio mtu wa kusafiri Mara kwa mara, huwezi kukumbana na hzi kadhia !!! Lodge/guest/hotel sio za kufanyia dhambi tu,,,, !Kwakweli nikilinganisha na za wenzangu wanazoziandika hapa mimi bado mwanafunzi
Umenikumbusha mambali nilipiga mswaki tu kesho yake nikarudi nzega palinishindaNina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.
1.Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala
2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke
3.Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti,alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa
4.Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.
5.Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.
6.Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7.Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana
Hapa ni trauma ndiyo iliwaunganisha kama ambavyo ulisema ndiyo iliwafanya muwe pamoja mpaka leo. Mliathirika kisaikolojia.Bond kubwa ni Upendo kati yetu na sio trauma,,hizo ni kama catalyst tuu ktk mahusiano,mfano mtu anakwambia yani nampenda sana mke wangu na kilichofanya nimpende zaidi mpk kumuoa ni vile anavyochukulia matatizo yangu kama yake,au vile alivyo na huruma,au vile alivyomsafi etc...etc....
Halafu unacheka kama umeandika jambo la maana. Thats very stupid. Kuna vitu hata kufikiria ni upumbavu.Mimi niliachia kimba juu ya kitanda baada ya mhudumu kunitolea nje nisimle [emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu nishatomba hapo nilimuokota demu mmoja serengeti barKwa Dar makumbusho kuna lodge inaitwa Msisimko ina vitanda kama makaburi.
Naomba nikupeleke Kama hutojali kwa mpalangeHahahah Kuna sehemu hata kwa mbinde. Huwez kunipeleka. Ni Bora utamu ukosekane tu.
Na nikifika, situmii taulo zao. Hata hayo mashuka yenyewe nayatazama Mara 2 mbili. Kwa kweli Bora kuwa na gheto.
Shoga uyo tunamjua kunya ndo zakeHalafu unacheka kama umeandika jambo la maana. Thats very stupid. Kuna vitu hata kufikiria ni upumbavu.
chimbo langu hiloKwa Dar makumbusho kuna lodge inaitwa Msisimko ina vitanda kama makaburi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari na nusu!Halafu unacheka kama umeandika jambo la maana. Thats very stupid. Kuna vitu hata kufikiria ni upumbavu.
Jitune tu mkuu dunia hii hakuna jipya yote tnarudia ya watu!!!Mimi kinachonipa tabu kwanza nikiwaza mashuka sijui mataulo yashatumiwa na watu kibao kabla yangu nami tena nikatumie hata kama yanafuliwa aah naona kero tu.
Wanawake hawa hawajitambuii... yani shida sanaaMwanza nilifikia hotel moja mjini pale floor ya pili, kwa chini kuna bar , nikaenda nikapata demu muhudumu pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake.
Demu walivofunga akaja kwangu, watu wakamsanua mwana...ulikua ni shida hio siku.
Una utoto na ushamba mwingi. Umeandika kwa furaha kama vile ulifanya jambo la maana kumbe la kipumbavu. Huo ulevi ndo huwa mnapasuliwa yai. Badala ya kujihurumia. Unaandika kwa kujisifia Upumbavu na Ushamba.Kuna gest nilichukua makambako,ile gest mhudumu ni mmaza hiv,sasa nilifika mchana nikachukua room kisha nikatoka nikaenda club kula tungi..nilirudi night kali niko vyoooombo kichizi yan,nilileta noma kichizi pale gesti..asubuhi naamka kukabidhi chumba,yule maza akaniambia ebu kaa hapo tuongee..akaanza kunipa wosia.."kwamba oooh we bado mtoto mdogo unalewa sana, yaani hapo ulipo hata 30 hujafikisha,cha ajab hata kuoa bado,hizo pombe mlikuwa mnashindana???..""unarudi usiku siku nyingine sikupokei"..hakujua mi mwenyewe sikuipenda ile gest..nilibugi tu
chimbo langu hilo
huwa napenda VYUMBA vya ghorofani