Mikao gani tena hii jamani?

Ndio tatizo la kuanza kwenda beach uzeeni...nimecheka kwa sauti...maana sijui hapo ameamua kutambaa au kajigeuza mbuzi...
 
Duuu, hii nilikuwa siifahamu. Dunia hii kuna majina jamani na hasa kwa akina Mama?

Mimi niliisikia hii ya PELICAN EFFECT, nikachoka kabisa.


hahahaaaaaaaaaa,mbadala wa shanga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…