Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

Mikael P Aweda aanza kuivuruga CHADEMA

sasa hapo mtu amevuruga vipi chadema? au kimekuuma kwa kuwa na wewe uko huko ukonga na huna popularity?

Amekiuka utaratibu wa chama,

Anagombea uenyekiti ukonga wakati bado ni mwenyekiti ubungo.

Ni kweli mimi sina popularity yeyote ukonga lakini najaribu kuangalia kama utaratibu na kanuni za uchaguzi ndani ya chama zinazingatiwa.
 
sasa hiyo nyepesi uliipata wapi km sio kwa insiders? (sijui insiders unamaanisha watu wa ndani???)))
na km huna uhakika unaiweka humu ya nini?

Kwamba amechukua fomu za kugombea ukonga ni uhakika, ninachouliza hapa ni kama utaratibu wa yeye kujiuzulu kwanza ubungo ulizingatiwa na kufanyika.
 
Mkuu acha pumba zako bana, mbona unakuwa mgumu kuelewa? uchaguzi unaofanyika ukonga ni wa chadema, na Aweda yupo chadema, sasa je, wewe umeshafanya utafiti wako kama uchaguzi wa ukonga unafanyika sambamba na uchaguzi wa ubungo? acha kuleta usharobaro mkuu
 
Wewe ndo unaongea pumba

Mtu kuwa mwanachama wa chadema sio sababu ya kutofuata kanuni za uchaguzi.

Unaongea kitu usichokifahamu kiasi kwamba hujui kuwa uchaguzi wa ukonga unafanyika baada ya kugawanywa kwa jimbo la uchuaguzi mwaka jana kabla ya uchaguzi mkuu.

Aweda alichaguliwa mwaka 2009 kuwa mwenyekiti wa jimbo la ubungo na kwa mujibu wa katiba utumishi wake utakoma 2014.

Sasa kabla hata jhajajiuzulu ubungo yeye anakimbilia ukonga ili iweje? hiyo ndo tamaa mbaya aliyonayo isiyokubalika na ni kinyume na kanuni za uchaguzi ndani ya chadema.
 
Mimi ni niligombea uenyekiti wa Chadema na kuwa mkiti wa kwanza wa kikatiba Ubungo nikiwa mkazi wa Ubungo- Ubungo kisiwani. Ni namwanachama ninayetumia muda na pesa zangu nyingi kuijenga Chadema kwa uwezo wangu wote.
Nilipoingia Ubungo haikuwa na uongozi wa kikatiba katika baadhi ya maeneo,(walikuwepo wa kukaimu) nikasimamia chaguzi zote kutoka kata ya Manzese hadi Kibamba(Nimetumia muda na pesa) Shahidi wa yote haya Mbunge mwenyewe (Mnyika). Nilifanya naye kazi kwa karibu sana.
Kabla sijaja ubungo, ubungo kulikuwa na vurugu nyingi sana. Nilipochaguliwa kuwa Mkiti na baada ya waleta vurugu kutimuliwa na makao makuu. Ubungo tumekuwa moja hadi tukashinda chaguzi zote hizo za madiwani na ubunge chini ya Uongozi wangu.

MCHAKATO WA KUNG’ATUKA.
Kabla sijaondoka niliwashirikisha wazee ubungo na secretariet ya jimbo chini ya Katibu. Hakukuwa na tatizo.
Baadaye nikakaa na viongozi wa kata zote. Wote wakanielewa.

Kuhusu kujiuzulu ubungo.
Mimi nimejiuzulu uenyekiti wa Ubungo 1/7/2011. Nakala nimempa katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na Katibu mkuu Taifa. Barua nilimwandikia katibu wa Jimbo la Ubungo.

Kwanini nimjizulu?
A) Nimehama kimakazi kutoka Ubungo, mtaa wa Kisiwani manisipaa ya Kinondoni hadi hadi Manisipaa ya Ilala. Makazi yangu ya kudumu yatakuwa Kitunda. Sidhani kama ni busara nichome mafuta kutoka Ilala kutoka kwenda ubungo. It is a waste of Time and Money unnecessarily.
On the other hand, katiba ya Chadema inaniruhusu mimi kupima mwenyewe baada ya kuhama kimakazi-haisemi lazima nijiuzulu au lazima nibaki. Kwa hiyo, mimi nikaongea na wazee wa Jimbo la ubungo, na viongozi wengine akiwepo Mbunge Mnyika wakanielewa. Tatizo liko wapi?

B) Ubungo ni Imara kimtandao na kiungozi. Jimbo la ubungo lina Mbunge Mnyika na Madiwani wa kutosha (7) bila kutaja wabunge wawili ambao nao ni madiwani. Kamati ya utendaji Ubungo ina wajumbe kama Dr Kitila, Mbunge na Suzana Lymo. Si Busara kuacha jimbo la Ukonga ambako ndiko ninakotumia muda wangu mwingi na kuendelea kuja ubungo imara. Nimezunguka kata zote, za ukonga na nimegundua inahitajika uimarishaji. Baadhi ya viongozi waliopo ( wakiwepo viongozi wa jimbo) wanakaimu nafasi zao.

C) Ubungo ina ruzuku ya zaidi ya Sh mil moja kwa Mwezi ( Ruzuku ya Chama na mchango wa Mbunge). Ukonga wana ruzuku ndogo sana around laki mbili na kidogo. Kwa hiyo, Uongozi uliopo Ubungo unaweza kujenga chama wakishirikiana na madiwani na Mbunge bila mimi. Busara yangu ni kwamba nikatumie uzoefu wangu wa kuongoza ubungo muda mrefu bila ruzuku (before uchaguzi mkuu) na kufanikiwa kushinda ktk jimbo (ukonga) ambalo sasa lina matatizo ya fedha kama tuliyokuwa nayo sisi kabla ya uchaguzi mkuu.

Mwisho; Chanzo cha Fitina.
Baada ya Makao makuu kutangaza kuwa Jimbo la Ukonga lazima lifanye chaguzi zote upya, viongozi wengi wa kata tano kati ya nane ambazo viogozi wake wananifahamu kutokana na kuwepo kwangu ukonga muda mwingi kikazi na kimakazi waliniomba nigombee nafasi ya M/kiti. Nikawakubalia. Mkiti aliyepo anauwezo wa kugombea au kutogombea ni haki yake ya kikatiba.

ALUTA CONITINUA.
 
Nyepesinyepesi,

Mbona mambo uliyoandika hayana uzito unaoendana na kichwa cha habari? Hebu tuache siasa za kuchafuana .....nina mashaka na wewe kama ni rafiki wa kweli wa CHADEMA au una maslahi fulani. . . (samaani kama niko wrong)
 
Mimi ni niligombea uenyekiti wa Chadema na kuwa mkiti wa kwanza wa kikatiba Ubungo nikiwa mkazi wa Ubungo- Ubungo kisiwani. Ninamwanachama ninayetumia muda na pesa zangu nyingi kuijenga Chadema kwa uwezo wangu wote.
Nilipoingia Ubungo haikuwa na uongozi wa kikatiba,( walikuwepo wa kukaimu) nikasimamia chaguzi zote kutoka kata ya Manzese hadi Kibamba(Nimetumia muda na pesa) Shahidi wa Yote haya Mbunge mwenyewe. Nilifanya naye kazi kwa karibu sana.
Kabla sijaja ubungo, ubungo kulikuwa na vurugu nyingi sana. Nilipochaguliwa kuwa Mkiti na baada ya waleta vurugu kutimuliwa na makao makuu. Ubungo tumekuwa moja hadi tukashinda chaguzi zote hizo za madiwani na ubunge chini ya Uongozi wangu.

MCHAKATO WA KUNG'ATUKA.
Kabla sijaondoka niliwashirikisha wazee ubungo na secretariet ya jimbo chini ya Katibu. Hakukuwa na tatizo.
Baadaye nikakaa na viongozi wa kata zote. Wote wakanielewa.

Kuhusu kujiuzulu ubungo.
Mimi nimejiuzulu uenyekiti wa Ubungo 1/7/2011. Nakala nimempa katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na Katibu mkuu Taifa. Barua nilimwandikia katibu wa Jimbo la Ubungo.

Kwanini nimjizulu?
A) Nimehama kimakazi kutoka Ubungo, mtaa wa Kisiwani manisipaa ya Kinondoni hadi hadi Manisipaa ya Ilala. Makazi yangu ya kudumu yatakuwa Kitunda. Sidhani kama ni busara nichome mafuta kutoka Ilala kutoka Ilala kwenda ubungo. It is a waste of Time and Money unnecessarily.
On the other hand, katiba ya Chadema inaniruhusu mimi kupima mwenyewe baada ya kuhama kimakazi-haisemi lazima nijiuzulu au lazima nibaki. Kwa hiyo, mimi nikaongea na wazee wa Jimbo la ubungo, wakanielewa. Tatizo liko wapi?

B) Ubungo ni Imara kimtandao na kiungozi. Jimbo la ubungo lina Mbunge Mnyika na Madiwani wa kutosha (7) bila kutaja wabunge wawili ambao nao ni madiwani. Kamati ya utendaji Ubungo ina wajumbe kama Dr Kitila, Mbunge na Suzana Lymo. Busara. Si Busara kuacha jimbo la Ukonga ambako ndiko ninakotumia muda wangu mwingi na kuendelea kuja ubungo imara. Nimezunguka kata zote, za ukonga na nimegundua inahitajika uimarishaji. Baadhi ya viongozi waliopo ( wakiwepo viongozi wa jimbo) wanakaimu nafasi zao.

C) Ubungo ina ruzuku ya zaidi ya Sh mil moja kwa Mwezi ( Ruzuku ya Chama na mchango wa Mbunge). Ukonga wana ruzuku ndogo sana. Kwa hiyo, Uongozi uliopo unaweza kujenga chama wakishirikiana na madiwani na Mbunge bila mimi. Busara yangu ni kwamba nikatumie uzoefu wangu wa kuongoza ubungo muda mrefu bila ruzuku na kufanikiwa kushinda, ktk jimbo ambalo sasa lina matatizo ya fedha kama tuliyokuwa nayo sisi kabla ya uchaguzi mkuu.

Mwisho Chanzo cha Fitina.
Baada ya Makao makuu kutangaza kuwa Jimbo la Ukonga lazima lifanye chaguzi zote upya, viongozi wengi wa kata tano kati ya nane ambazo viogozi wake wananifahamu kutokana na kuwepo kwangu ukonga muda mwingi kikazi na kimakazi waliniomba waliniomba nigombee nafasi ya M/kiti. Nikawakubalia. Mkiti aliyepo anauwezo wa kugombea au kutogombea ni haki yake ya kikatiba.

ALUTA CONITINUA.

Aweda,

Thank you so much...................!
 
Maelezo mazuri, tatizo watu wengi hukimbilia kwenye negativity badala ya positivity. Mtoa hoja alitakiwa afikirie katika kujenga CDM na kama hakuwa na majibu, alitakiwa aulize maswali. Siyo kuja na negative conclusion hapa. Nasema tena, wanachama wa Chadema wengi wanaendesha na hisia na wala siyo akili. Samahani kama nimekosea.
 
Acheni siasa za kizamani, nilijiuzulu tarehe 1/07/ 2011. Katibu wa Chadema jimbo la ubungo na mkoa wa Kinondoni wana nakala zao.
 
Mimi ni niligombea uenyekiti wa Chadema na kuwa mkiti wa kwanza wa kikatiba Ubungo nikiwa mkazi wa Ubungo- Ubungo kisiwani. Ninamwanachama ninayetumia muda na pesa zangu nyingi kuijenga Chadema kwa uwezo wangu wote.
Nilipoingia Ubungo haikuwa na uongozi wa kikatiba,( walikuwepo wa kukaimu) nikasimamia chaguzi zote kutoka kata ya Manzese hadi Kibamba(Nimetumia muda na pesa) Shahidi wa Yote haya Mbunge mwenyewe. Nilifanya naye kazi kwa karibu sana.
Kabla sijaja ubungo, ubungo kulikuwa na vurugu nyingi sana. Nilipochaguliwa kuwa Mkiti na baada ya waleta vurugu kutimuliwa na makao makuu. Ubungo tumekuwa moja hadi tukashinda chaguzi zote hizo za madiwani na ubunge chini ya Uongozi wangu.

MCHAKATO WA KUNG'ATUKA.
Kabla sijaondoka niliwashirikisha wazee ubungo na secretariet ya jimbo chini ya Katibu. Hakukuwa na tatizo.
Baadaye nikakaa na viongozi wa kata zote. Wote wakanielewa.

Kuhusu kujiuzulu ubungo.
Mimi nimejiuzulu uenyekiti wa Ubungo 1/7/2011. Nakala nimempa katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na Katibu mkuu Taifa. Barua nilimwandikia katibu wa Jimbo la Ubungo.

Kwanini nimjizulu?
A) Nimehama kimakazi kutoka Ubungo, mtaa wa Kisiwani manisipaa ya Kinondoni hadi hadi Manisipaa ya Ilala. Makazi yangu ya kudumu yatakuwa Kitunda. Sidhani kama ni busara nichome mafuta kutoka Ilala kutoka Ilala kwenda ubungo. It is a waste of Time and Money unnecessarily.
On the other hand, katiba ya Chadema inaniruhusu mimi kupima mwenyewe baada ya kuhama kimakazi-haisemi lazima nijiuzulu au lazima nibaki. Kwa hiyo, mimi nikaongea na wazee wa Jimbo la ubungo, wakanielewa. Tatizo liko wapi?

B) Ubungo ni Imara kimtandao na kiungozi. Jimbo la ubungo lina Mbunge Mnyika na Madiwani wa kutosha (7) bila kutaja wabunge wawili ambao nao ni madiwani. Kamati ya utendaji Ubungo ina wajumbe kama Dr Kitila, Mbunge na Suzana Lymo. Busara. Si Busara kuacha jimbo la Ukonga ambako ndiko ninakotumia muda wangu mwingi na kuendelea kuja ubungo imara. Nimezunguka kata zote, za ukonga na nimegundua inahitajika uimarishaji. Baadhi ya viongozi waliopo ( wakiwepo viongozi wa jimbo) wanakaimu nafasi zao.

C) Ubungo ina ruzuku ya zaidi ya Sh mil moja kwa Mwezi ( Ruzuku ya Chama na mchango wa Mbunge). Ukonga wana ruzuku ndogo sana. Kwa hiyo, Uongozi uliopo unaweza kujenga chama wakishirikiana na madiwani na Mbunge bila mimi. Busara yangu ni kwamba nikatumie uzoefu wangu wa kuongoza ubungo muda mrefu bila ruzuku na kufanikiwa kushinda, ktk jimbo ambalo sasa lina matatizo ya fedha kama tuliyokuwa nayo sisi kabla ya uchaguzi mkuu.

Mwisho Chanzo cha Fitina.
Baada ya Makao makuu kutangaza kuwa Jimbo la Ukonga lazima lifanye chaguzi zote upya, viongozi wengi wa kata tano kati ya nane ambazo viogozi wake wananifahamu kutokana na kuwepo kwangu ukonga muda mwingi kikazi na kimakazi waliniomba waliniomba nigombee nafasi ya M/kiti. Nikawakubalia. Mkiti aliyepo anauwezo wa kugombea au kutogombea ni haki yake ya kikatiba.

ALUTA CONITINUA.

Ahsante kwa ufafanuzi wa kina,

Ieleweke kwamba hakuna fitna wala chuki, isipokuwa ulishindwa kuwa muwazi tangu mwanzo.

Nilikuandikia kutaka kufahamu ukweli wa jambo hili lakini hukutaka kunijibu nikaona nije public ili nifahamu ukweli.

Kwakuwa kulishaanza kuibuka taarifa mbalimbali zinazokuhusisha wewe kuleta malumbano miongoni mwa viongozi waliokuwepo sasahivi, basi ilikuwa ni muhimu kuliweka hili sawia ili kama wanachama wakiridhia kukukabidhi dhamana ya uongozi wa jimbo basi upate ushirikiano wa kutosha toka kwa viongozi wa zamani pamoja na wanachama wote kwa ujumla.

Tuko pamoja.
 
Nyepesinyepesi,

Mbona mambo uliyoandika hayana uzito unaoendana na kichwa cha habari? Hebu tuache siasa za kuchafuana .....nina mashaka na wewe kama ni rafiki wa kweli wa CHADEMA au una maslahi fulani. . . (samaani kama niko wrong)

Ben unaweza kuchukulia kirahisi kwamba mambo niliyoyaandika ni mepesi na hayaendani na kichwa cha habari kwa kuwa hujafika ukonga na hujui hali ya huko ikoje.

Kumeibuka malumbano na kutoaminiana miongoni mwa viongozi wa sasa wa jimbo la ukonga kutokana na ujio wa Aweda. Sasa katika hali ya kawaida kama viongozi wa jimbo wanaanza kuhitilafiana huoni kama hapo ni kukivuruga chama?? ama wewe chama ni ngazi ya Taifa tu majimboni sio chama??
 
Acheni siasa za kizamani, nilijiuzulu tarehe 1/07/ 2011. Katibu wa Chadema jimbo la ubungo na mkoa wa Kinondoni wana nakala zao.

Aweda hakuna siasa za kizamani hapa, labda kama wewe ndo unafanya siasa za kizamani.

Siku ya tarehe 25/06/2011katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Dr. Slaa akiwa mgeni rasmi, mkutano uliofanyika viwanja vya kampala ulikuwa jukwaa kuu na ulipopewa nafasi ya kusalimia uliutangazia umma kwamba una mpango wa kuhamia kitunda baada ya miezi sita.

Lakini baada ya siku 5 unasema umeandika barua ya kujiuzulu uenyekiti ubungo na tayari umehama ubungo kisiwani na kuhamia ilala, sas hapa huoni wewe ndo unafanya siasa za kizamani??

Hata hivyo unakaribishwa ukonga kwakuwa una haki ya kikatiba kugombea lakini usipende kufanya mambo mazuri gizani.
 
Nyepesi Nyepesi uongozi wa ukonga si Binagi. Je, viongozi wengine umewauliza kuhusu mimi?

Ni kweli uongozi wa ukonga si binagi,

Nilimtaja binagi kwakuwa ndiye mwenyekiti na kiongozi wa juu wa jimbo, na kabla hujatangaza rasmi kuwania nafasi hiyo ulishaanza kupita matawini ukifanya lobbying bila kumfahamisha mwenyekiti mwenzako kwamba uko jimboni kwa shughuli za kichama.
 
Kwamba amechukua fomu za kugombea ukonga ni uhakika, ninachouliza hapa ni kama utaratibu wa yeye kujiuzulu kwanza ubungo ulizingatiwa na kufanyika.
Kumbe na wewe unauliza sasa hayo mapovu ya nini subiri wanaojua watakuelimisha.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wa kina,

Ieleweke kwamba hakuna fitna wala chuki, isipokuwa ulishindwa kuwa muwazi tangu mwanzo.

Nilikuandikia kutaka kufahamu ukweli wa jambo hili lakini hukutaka kunijibu nikaona nije public ili nifahamu ukweli.

Kwakuwa kulishaanza kuibuka taarifa mbalimbali zinazokuhusisha wewe kuleta malumbano miongoni mwa viongozi waliokuwepo sasahivi, basi ilikuwa ni muhimu kuliweka hili sawia ili kama wanachama wakiridhia kukukabidhi dhamana ya uongozi wa jimbo basi upate ushirikiano wa kutosha toka kwa viongozi wa zamani pamoja na wanachama wote kwa ujumla.

Tuko pamoja.
Next time kabla ya kukurupuka kama umefumaniwa lazima kwanza uulize wanaohusika siyo kutapika tapika hovyo kama mlevi wa mataputapu.
Halafu unatakiwa ututake radhi kwa kutudanganya kuwa ni habari za uhakika kumbe siyo za uhakika.
 
1.Unaweza kuthibitisha kwamba anaishi ukonga? anakaa kata gani ama mtaa gani??
2.Kwanini asijiuzulu kwanza nafasi yake ubungo ndipo aende kugombea ukonga? kwanini agombee ukonga wakati bado ni mwenyekiti wa ubungo?
3.Nani anayefanya siasa za kizandiki kama si yeye na wewe?

Sasa we Nyepesi nyepesi hutaki kuamini kwamba mimi nimeondoka Kinondoni na sasa ninaishi manisipaa ya Ilala? Nipigie nikupeleke ktk makazi yangu ya kudumu.
Pili, kama nilivyojiuzulu ubungo kwa hiari, kugombea Ukonga pia ni Hiari in regard to geografical location. Si lazima nikae ktk kata mojawapo. Ninaweza nikakaa jimbo lolote ktk manisipaa ya Ilala nikagombea ukonga. Hata kwa mujibu wa sheria ya serikali za mtaa, Mtu anaweza akakaa kariakoo akagombea udiwani Chanika. Ruksa. Kwa hiyo, tafuta makazi yangu manisipaa ya Ilala na siyo lazima ndani ya ukonga. Hata hivyo, makazi yangu ya kudumu ni mtaa wa Magole kata ya kitunda jimbo la ukonga.

Tatu, Katiba ya Chadema imetupa uhuru huo wa mahali anapokaa kiongozi kama ilivyo kwa sheria za serikali ktk nafasi kama ya ubunge.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Next time kabla ya kukurupuka kama umefumaniwa lazima kwanza uulize wanaohusika siyo kutapika tapika hovyo kama mlevi wa mataputapu.
Halafu unatakiwa ututake radhi kwa kutudanganya kuwa ni habari za uhakika kumbe siyo za uhakika.

Matatizo ya kuanza kunywa gongo ukiwa na umri mdogo matokeo yake huwezi hata kusoma na kuelewa kilichoandikwa, mwenyewe kakiri hapo sasa wewe unalipuka kama teja!!

Mwisho; Chanzo cha Fitina.
Baada ya Makao makuu kutangaza kuwa Jimbo la Ukonga lazima lifanye chaguzi zote upya, viongozi wengi wa kata tano kati ya nane ambazo viogozi wake wananifahamu kutokana na kuwepo kwangu ukonga muda mwingi kikazi na kimakazi waliniomba nigombee nafasi ya M/kiti. Nikawakubalia. Mkiti aliyepo anauwezo wa kugombea au kutogombea ni haki yake ya kikatiba.

ALUTA CONITINUA.
 
Matatizo ya kuanza kunywa gongo ukiwa na umri mdogo matokeo yake huwezi hata kusoma na kuelewa kilichoandikwa, mwenyewe kakiri hapo sasa wewe unalipuka kama teja!!
Nimekwambia na narudia tena next time utie akili siyo kukimbilia usichokijua ulipotuambia una habari za uhakika ulikuwa na maana gani, kutudanganya.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wa kina,

Ieleweke kwamba hakuna fitna wala chuki, isipokuwa ulishindwa kuwa muwazi tangu mwanzo.

Nilikuandikia kutaka kufahamu ukweli wa jambo hili lakini hukutaka kunijibu nikaona nije public ili nifahamu ukweli.

Kwakuwa kulishaanza kuibuka taarifa mbalimbali zinazokuhusisha wewe kuleta malumbano miongoni mwa viongozi waliokuwepo sasahivi, basi ilikuwa ni muhimu kuliweka hili sawia ili kama wanachama wakiridhia kukukabidhi dhamana ya uongozi wa jimbo basi upate ushirikiano wa kutosha toka kwa viongozi wa zamani pamoja na wanachama wote kwa ujumla.

Tuko pamoja.
Asante kwa kunielewa. Sina taarifa ya kuleta mtafaruku wowote Ukonga. Ila ninafahamu kuna viongozi wa jimbo wanaoniunga mkona na wasioniunga mkono. Huo si mtafaruku. Hiyo ndiyo demokrasia.
 
Back
Top Bottom