Yeah ..its true..jamaa kapiga kazi za maana kama kamanda ya daz nundaz, hip-hop mdundiko ya mambo jambo etc....tena jamaa ni producer wa kweli sio hawa wenzangu na mie wazeee wa sampling mwanzo mwisho...
Tatizo jamaa ni foreigner soo inabidi upendeleo wa kihistoria uwabebe wazawa kama ilivyokuwa suala la mapinduzi ya zenji na kina okelo...ni maoni tuu
Mika Mwamba aliona muziki hauna muelekeo kabisa na kiukweli alifanya muziki kwa mapenzi yake tu! Alikuwa msomi na mwenye uwezo wa kutengeneza muziki wowote hata zile nyimbo za Kikatoliki!!amuongelei kabisa ingawa aliwafanyia kazi nyingi. Binafsi huwa sielewi kabisa, si ndo mambo ya ndumba za hawa maprodyuza kwa wanamuziki wetu? Iweje miaka nenda miaka rudi, jamaa huwa hawamtaji kabisa kama ni mmoja wa watu walowasaidia kutoka coz of biti zake
Mika mwamba alibadili muziki wa kizazi kipya kwa kutoa tracks kama Kamanda na Barua za Daz Nundaz pia ndio aliyemweka Dully Sykes kwenye ramani ya music..Saida Caroli nyimbo zake za mwanzo pia nazani zilitengenezwa Jembe mika ...alirudi kipindi fulani akatengeneza nyimbo iliyotamba sana ya Temba ,Chege,Feruz ,YP na Y-Dash kituTwende Zetu. Pia alimweka Mad Ice kwenye Ramani ya music bila kusahau nyimbo za za Twanga enzi zile Busu la 2001 aliweka fulu mikono yake ...Jamaa anatisha mpaka kesho...
Asanteni sana nyote. Sina mengine zaidi, ni kushukuru tu, kwamba bado wapo wa kukumbuka na kuthamini juhudi zangu za enzi hizo. Aminia!