Mijusi iliyotishia Dunia

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Unaambiwa hii mijusi inajulikana kwa jina la dinosaurs...ndo mijusi iliyo tishia dunia yaani kwa hiyo mijusi tembo ilionekana kama sungura, yalikula kila mnyama

Na inasemekana hiyo mijusi ingekuwepo hadi Leo basi kusingekuwepo mnyama yeyote duniani yengemaliza dunia yote kwa kula kila mnyama basi Mungu apoona kuwa imekuwa tishio kwa wanyama wengine hivyo alituma jiwe kubwa likijulikana kama asteroid au burning sulphur ambalo lilibonda mijusi hiyo na kuiteketeza kwa moto yote bila kubaki hata mmoja

FB_IMG_1623553215561.jpg
 
Stori za kutunga ina maana huyo mungu aliyeiumba hiyo midude hakuwa anajua kitu anachokiumba kitaleta madhara? Na je iwapo anauwezo wa kuumba pia angekuwa na uwezo wa kujua namna ya kuvitokomeza na sio kwa ukatili wa kuviponda kwa mawe kama unavyotusasikisha.Tumedanganywa sana
 
Unaambiwa hii mijusi inajulikana kwa jina la dinosaurs...ndo mijusi iliyo tishia dunia yaani kwa hiyo mijusi tembo ilionekana kama sungura, yalikula kila mnyama

Na inasemekana hiyo mijusi ingekuwepo hadi Leo basi kusingekuwepo mnyama yeyote duniani yengemaliza dunia yote kwa kula kila mnyama basi Mungu apoona kuwa imekuwa tishio kwa wanyama wengine hivyo alituma jiwe kubwa likijulikana kama asteroid au burning sulphur ambalo lilibonda mijusi hiyo na kuiteketeza kwa moto yote bila kubaki hata mmoja

View attachment 1816829

jiwe kubwa aina ya FATUMA
 
Trust me hio mijus ingekuwepo kuna watu kibao wangekua na kesi ya ujangiri
 
Unaambiwa hii mijusi inajulikana kwa jina la dinosaurs...ndo mijusi iliyo tishia dunia yaani kwa hiyo mijusi tembo ilionekana kama sungura, yalikula kila mnyama

Na inasemekana hiyo mijusi ingekuwepo hadi Leo basi kusingekuwepo mnyama yeyote duniani yengemaliza dunia yote kwa kula kila mnyama basi Mungu apoona kuwa imekuwa tishio kwa wanyama wengine hivyo alituma jiwe kubwa likijulikana kama asteroid au burning sulphur ambalo lilibonda mijusi hiyo na kuiteketeza kwa moto yote bila kubaki hata mmoja

View attachment 1816829
Nature is always in equilibrium hivyo hakuna kitu kama hicho ulichoandika. Mass extinctions zimetokea mara kadha katika historia ya dunia na kutokana na historia miaka ijayo zitatokea tena.

_ FYI during Jurassic period (almost 200m years ago) hakukua na tembo wala sungura.
 
Huyu ni Tyrannosaurus Rex aka T-Rex

Ni jamii ya Dinosaur Sema kadogo kadogo, mita kama 3 mpaka 6, Mkali ila kwa size alikua mdogo compare na species nyengine za Dinosaur.
 
Back
Top Bottom