Miji midogo ndani ya MANISPAA/JIJI itaboreshwa na kuwa ya kisasa na mizuri

Miji midogo ndani ya MANISPAA/JIJI itaboreshwa na kuwa ya kisasa na mizuri

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
JIJI/MANISPAA nyingi zina miji midogo midogo na inakua sana ila cha kusikitisha hii miji inakua tu bila mpangilio wowote badala yake hii miji inatakiwa ijengwe vizuri na kuwa mizuri bado ipo ipo tu sio mizuri hata-

Maboresho kwenye hiyo miji ni kama ifuatayo;-
  1. Kutajengwa magorofa marefu ambayo ni skyscraper
  2. Kutajengwa ofisi

NIKIWA RAIS moja ya mambo ntakayofanya ni kuboresha miji midogo ndani ya MANISPAA/JIJI
mfano kwa dar es salaam miji ndani ya jiji ifuatayo itaboreshwa na kuwa ya kisasa ni kama;-
  • Buguruni
  • Mwenge
  • Segerea
  • Rangi tatu
  • Gongo la mboto
  • Goba centre
  • Mbezi
  • Tegeta
  • Bunju sokoni
  • Chanika
  • Kibada

Sio sawa kama nchi tumeshindwa ifanya hii miji ndani ya JIJI kuwa mizuri faida zake
  1. Itapunguza pressure ya shughuli za kibiashara kwenye miji mikubwa
  2. Itafanya miji yetu ipendeze
  3. Itaifanya miji yetu kuwa metropolitan tofauti na ilivyo sasa
 
Uza sera hii kwa CCM.
CCM hawana nongwa, kwani sera zao hutokana na kuiba vipande vya sera za wapinzani. Nina hakika hii wataichukua. Hakikisha ,kopi ya uzi wako - cc Dr Nchimbi.
 
Kwa manispaa ya moshi miji kama
  • Njia panda
  • Kiboriloni
  • Maili sita
  • Bomang'ombe
  • Sango
INatakiwa ijengwe na iwe ya kisasa na sio kama ilivyo sasa na hili linawezekana
 
Kuna nyingi tu ambazo wamezitekeleza. Mfano:
  • Elimu bure Msingi, sekondari. (CUF-Lipumba/CHADEMA)
  • Mikopo chuo kikuu (CUF/ Wanafunzi wenyewe-maandamano wakati wa Mwinyi)
  • Ubepari (mfumo wa uchumi huria, ilipigiwa chapu na wapinzani wote wa TANU/CCM)
  • Hati miliki (wao walipendelea ofa tu)
Ndugu zangu, hawa watu wanasikiliza na wanabadilika, lakini si kwa kasi tunayoitarajia. Wanabadilika polepole sana, na hii mbinu ya kubadilika kwa kusikiliza nje ya box ndio uchawi wao kwa wananchi.
Wengi hawajui kwanini asilimia kubwa ya watanzania bado wanaipenda CCM.
Baadhi wanafikiri kwa kugawa kofia, kanga, baiskeli n.k, hapana. Ni mabadiliko madogo madogo wanayoyafanya toka kwa sera za wapinzani ndio ndoana yao.
 
Mambo mengi niliyoyasema na ntakayoyasema sio rahisi kuyatekeleza sababu yanahitaji ufahamu mkubwa sana wa kupiga hesabu za mbali sio tu swala la fedha hapana
 
Mambo mengi niliyoyasema na ntakayoyasema sio rahisi kuyatekeleza sababu yanahitaji ufahamu mkubwa sana wa kupiga hesabu za mbali sio tu swala la fedha hapana
Hapana..uwezo wanao na Ufahamu wanao. Tatizo ni moja tu kwao..... SIASA INAKUJA MBELE YA UFAHAMU, WELEDI NA UWEZO WA PESA.
Yakitekelezwa leo hayo unayoyasema maana yake uchumi wa mwananchi utaimarika sana na hawatawahitaji wao kivile - Kisiasa si kitu kizuri kwao. Wanachofanya ni ku-balance hapo.
 
Back
Top Bottom