The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
we kapige tena kura utaona yanazidi kuotaAseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
😆😆😆😆😆😆😆Aseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
🤣🤣🤣akapigwe na juawe kapige tena kura utaona yanazidi kuota
Mzee tulia.. ngoja wajibu walio wahi kupita.. ila huku nyumba zote kaliWeka picha. Siyo kila mtu kapita huko kama wewe
Vingunguti😆😆😆😆😆😆😆
Samahani lakini, kwani wewe unaishi kitongoji gani?
Karibu huku Msumbiji nina kuku atakula mahindi yatayomwagwa chini, kila punje ya hindi huwakilisha mwaka mmoja utaokuwa na utajiri, akila mahindi 30 utakuwa umeupiga mwingi ila akila punje 1 ya mahindi tusilaumiane maana ni masharti ya utajiri.Aseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
Shida ya ununio ipo kama kijichi.Ununio umewahi pita?
Dah....! Ndiyo umejenga huko au umepanga?Vingunguti
Ingia CCMAseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
Unaweza jihisi unaishi shimoni au pangoniKama Una pressure hayo sio maeneo ya kutembelea mkuu