...Mihogo ya coco beach

...Mihogo ya coco beach

Jamaangu umenikumbusha nlikuwa nakujaga ila kwa sasa nipo mbaaaali
 
yaani mie napapenda mno
ile nyama laini kweli, ila ni ya 'ulinzi'
nakula sababu hainidhuru
 
Mihogo ipo poa tatizo wale wauzaji ukiwatizama kimavazi wapo ovyo na ni wachafu balaa... lakini utashangaa watu jinsi wanavyopenda vichafu huwa wanafurika sana...

Watu wa afya wanahitajika kuwasaidia wale wauzaji... unakuta muuzaji kavaa nguo chafu chini ndala vumbi pilipili zikiwamwagikia wanajifutia kwenye nguo zao yaani huwa nikiwatizama nabaki naduwaa tu...
 
Back
Top Bottom