...Mihogo ya coco beach

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,366
78,434
..mitamu sana..
..watu wanajaa sana

sijui ndio mihogo ya Jangombe ama...?

Nani nimpe offa ...humu wana Chit Chat
 
magogo yamekatwa hovyo hovyo yaani mi sipafagilii kabisa

yaani kuna siku nilishuhudia kifusi hicho...nikajiuliza kumbe mtu anaweza kuzaa kwa kupitia 0713 eenh, maana kitu km shingo la mtoto...
 
Mishikaki midogo midogo ile ya chelewa kinachoniogopesha ni usanii wa watu dunia ya sasa imani imekwisha si wanaume si wanawake usikute nyama ya paka ile au ya iringa!
...hahahahaha..kaka umeua maana mie huwa naifakamia kweli kweli
 
ile mihogo ya kukaanga safi sana ila kachumbali cgusi, mishikaki ndo kabisaa pale unaweza ukala kibudu!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom