Mihogo mibichi, karanga mbichi na nazi

kantalambazi

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,011
650
Ndg wana JF,

Naomba kujua kama ulaji wa hivyo vyakula mara kwa mara kunaongeza ufanisi kwenye mambo ya wakubwa ya kitandani?
 
Kumbeee...kuna lifanyakazi lenzetu kazi kula mihogo na mikaranga kuanzia asubuhi hadi jioni! Likitoka hapo full kutongozaa, yani ni sheeda.
 
Kumbeee...kuna lifanyakazi lenzetu kazi kula mihogo na mikaranga kuanzia asubuhi hadi jioni! Likitoka hapo full kutongozaa, yani ni sheeda.

ha haa haaa! hapo anataka mjue mambo anayaweka na unaweza kuta hakuna kitu humo ndani.
 
Tendo lile ni tukio la kisaikolojia na c vyakula.

Hili tendo linahitaji utulivu wa akili pamoja na utulivu wa afya.

Kula chakula kilicho balanced, chenye virurubisho vya kutosha, hakikisha unakunywa glass ya maziwa fresh ya ng'ombe kila siku (yasiyochanganywa na maji).
Epuka uvutaji wa sigara, epuka ulevi ili performance ya mapafu yako na mfumo nzima wa Punjabi uwe mzuri.
 
Hivyo ulivyovitaja nfani yake vina ingredients za sperm. ...so zinaongeza production ya sperm
 
Back
Top Bottom