Aaaaa hiki chama cha mapinduzi a.k.a ccm kimenichosha
kilinipa kofia na shati miaka mitatu iliyopita na kilihaidi kuleta milion 50 kwenye kijiji chetu
Na pale kijijini mi ndo nilileta ushawishi kwa wenzangu tukichague kupitia wagombea wake
Lakini mpka leo hii hakuna kilichofanyika
Nalaumiwa mimi tu kijiji kizima na hali yangu kama hivi mnavyoiona
Naomba ushauli nifanyeje ??
View attachment 1119127