Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Zurie, Kunywa Pepsi bili kwako yaani umeongea mawazo yangu kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwa ameshapigwa kwa maneno na mkewe, maneno ndo silaha ya mwanamkeSema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa
Instagram ni nani mwenye njaa ?Unamjua Nacky wewe
Mtafte japo instagram tu
Sio mwanamke mwenye njaa
Sijui mmekariri nini
na nyie busara zenu ni maneno, akili hamtumiiWanaume wengi busara zenu ni nguvu akili hamtumii.....ila ujue mwanamke akiamua awe mtulivu na mdomo wake usikukere pamoja na mabaya yako anaweza kukuua anakuchekea
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa
PoleNimeshuudia wanawake wa 5 wakipigwa live huyu hajapigwa jamani kapapaswa nyie kuna wanaume wanabonda aisee, kati ya hao watano kuna mmoja nilishindwa kuvumilia angeuwawa nikavaana na mumewe mpaka leo nina ngeu kwenye jicho sababu ya kuokoa asipasuliwe bandama mi pia na hasira ila siwezi kupiga mwanamke, yani mtu anakupa utamu unampiga?! Uuajiii??!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unaona hapa duniani mwanadamu ni mwanamke pekee yake?
Hapa anazungumziwa huyo dada ambae ni mwanamke,hutaki azungumziwe mwanadamu mwingine ambae maamuzi kama hayo yanaweza fanyika in comparison
Unaona wengine kwavile hawajapigwa leo wasisemewe sababu kapigwa mwanamke tu wengine unawapa ostrich theory eeeh?
Acha kuruka ruka wewe,akipigwa mwanadamu yeyote si sawa ila wewe sababu ni mnazi na baguzi una define categorically “mwanamke hapigwi” kwahiyo ni ruhusa kupiga wengine sio?
Wacha blah blah wewe,kemea maovu kote!
Dada la mji,chupi mkononi!
Familia yake yote ni unmarried
Mama was a divorcee mzoefi,kaolewa na yule mzee kama hifadhi
Familia ina domo hapa na Mbagala
Ma nigga Wilmore,got rid of that piece of ugly meat!
Hold my beer!
hata jiwe anampiga mkeweMwanaume yeyote anaye nyanyua mkono kumpiga mkewe/demu wake atakuwa na mapungufu katika malezi au mpaka yeye binafsi. Kama mapenzi yanazingua chomoa weka chuma kipya.
tena kutukanwa na mwanamke teh tehKuna wengine baadhi yenu wanatoka nje ya ndoa wasaliti huoni pia wanatutesa wanaume na bado anakuongelesha kwa dharau, hivi unajua hasira inayotokana na kutukanwa inavyoumiza kichwa?
Kiingereza chako kibovu kabisa. Si uandike Kiswahili tu.
Halafu usije ukasema na wewe ulifaulu. Na ikiwa ulifaulu, nasema wazi wazi, hiyo mitihani ni majanga.
wanawakeKati ya wanawake na wanaume nani anaongoza kwa usaliti?.
ukisaliti na wewe upigwe kama mwizi?.
,umeongea kwa hisia sanaNi kwasababu hamna nguvu ya kupiga, Ila kuna nyakat huwa unapenda kupiga .. Hata ivo adhabu zenu kwetu tunazijua na bora hata mngekua mnatupiga nasio kufanya ambavyo mnatufanyia.Aiseee , nisiende mbali,,, binafsi Mimi hapa, ukijua Umenifanya kosa km LA usaliti. Na nimejua.
Kusanya vilivyo vyako, ondoka . usisubiri nikulazimishe Uondoke .
Na wewe siku ukigundua nmekusaliti , usihangaike, Niache ,ondoka zako kama ni Mali tugawane LAKINI KAMWE ,usitumie kukusaliti kwangu, nawewe unisaliti km sehem yakulipa kisasi.
Alafu nikajua, ukategemea ukisema mbona nawewe ulifanya ..weeeeeeee nitakuvunja miguu yako.....
Sepa mapema.
yamewahi kukukuta nini?Hapana sio halali , ndio maana ninaruhusu uchukie hatua unayoweza lkn sio kuchukua hatua inayoniathiri kiakili NA kimwili...... Umenisaliti nmejua Fanya mpango wa kuondoka sababu SITOKAA KUKUFURAHIA nakila nitakapokuona NITAKUA NAHASIRA NAWEWE......nmekusaliti pia Fanya hatua ya Kuniacha au niadhibu kwa njia nyingine itakayonijutisha sana lkn Sio Kunisaliti km kisasi .Mbona mnawakata wanaume Mashine ??? Lkn hatusemi.
Asikuambie MTU aisee.... MKE ANAUMIZA SANA ,MKE ANAUMIZA MNOOO.
Matumbo mtoto wa mjiniMihayo kawatapeli nini crdb? Mihayo aliwauzia product ya Simu Account kwa makubaliano ambayo yeye angeendelea kuwa anafanya management ya product lakini wakafanya uhuni wakamwingiza mjini. Sasa kawatapeli kivipi? na mbona yeye ndio anataka kwenda mahakamani kudai rights zake, kwa nini isiwe crdb ndio waende mahakamani.
Siungi mkono mtu kupigwa ila kuna muda binadamu unafanya kitendo ambacho hata wewe mwenyewe haujui ulifikiaje kukifanya sababu ya mtu kukusukuma mpaka kiwango cha mwisho cha hasira. Huyo demu alikuwa anamchukulia mshikaji boya akawa anagongwa nje anarudi home usiku amelewa anamtukana mshikaji mbele ya watoto. Sasa ulitegemea atamuongelea vizuri kwa lipi.
daahalishinda kesi ya kumpiga na akasema Mihayo hakumpiga mkewe??
au alishinda kesi ya talaka??
nina mashaka wewe ndiyo Mihayo mwenyewe.
Ntajie sura gani na aya gani?uislamu unaruhusu, quran imeandikwa wanawake wana akili kidogo,hivyo wapigwe, quran inasema akili ya mwanaume mmoja ni sawa na akili ya wanawake wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio wema
mbona jiwe na ndalichako walifaulu na kiingereza chao ni kibovuKiingereza chako kibovu kabisa. Si uandike Kiswahili tu.
Halafu usije ukasema na wewe ulifaulu. Na ikiwa ulifaulu, nasema wazi wazi, hiyo mitihani ni majanga.
kwani wanaofungwa kea kuua,kifungo chao kinawafufua waliokufa?sasa ukimpiga ndo lile tendo lina un do?