Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
1,102
Points
2,000

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2019
1,102 2,000
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa
atakuwa ameshapigwa kwa maneno na mkewe, maneno ndo silaha ya mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,757
Points
2,000

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,757 2,000
Ahsante
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,757
Points
2,000

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,757 2,000
poe
Nimeshuudia wanawake wa 5 wakipigwa live huyu hajapigwa jamani kapapaswa nyie kuna wanaume wanabonda aisee, kati ya hao watano kuna mmoja nilishindwa kuvumilia angeuwawa nikavaana na mumewe mpaka leo nina ngeu kwenye jicho sababu ya kuokoa asipasuliwe bandama mi pia na hasira ila siwezi kupiga mwanamke, yani mtu anakupa utamu unampiga?! Uuajiii??!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
1,317
Points
2,000

Zurie

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
1,317 2,000
Kwahiyo wewe unaona hapa duniani mwanadamu ni mwanamke pekee yake?

Hapa anazungumziwa huyo dada ambae ni mwanamke,hutaki azungumziwe mwanadamu mwingine ambae maamuzi kama hayo yanaweza fanyika in comparison

Unaona wengine kwavile hawajapigwa leo wasisemewe sababu kapigwa mwanamke tu wengine unawapa ostrich theory eeeh?

Acha kuruka ruka wewe,akipigwa mwanadamu yeyote si sawa ila wewe sababu ni mnazi na baguzi una define categorically “mwanamke hapigwi” kwahiyo ni ruhusa kupiga wengine sio?

Wacha blah blah wewe,kemea maovu kote!
Nioneshe sehemu ilipoongelewa kupigwa kwa kiumbe chochote ambacho sio mwanamke nikasema wasisemewe. I’ll wait

Otherwise hili povu lako la kleesoft kamtolee mwingine si mimi.
 

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
1,102
Points
2,000

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2019
1,102 2,000
Ni kwasababu hamna nguvu ya kupiga, Ila kuna nyakat huwa unapenda kupiga .. Hata ivo adhabu zenu kwetu tunazijua na bora hata mngekua mnatupiga nasio kufanya ambavyo mnatufanyia.Aiseee , nisiende mbali,,, binafsi Mimi hapa, ukijua Umenifanya kosa km LA usaliti. Na nimejua.


Kusanya vilivyo vyako, ondoka . usisubiri nikulazimishe Uondoke .


Na wewe siku ukigundua nmekusaliti , usihangaike, Niache ,ondoka zako kama ni Mali tugawane LAKINI KAMWE ,usitumie kukusaliti kwangu, nawewe unisaliti km sehem yakulipa kisasi.

Alafu nikajua, ukategemea ukisema mbona nawewe ulifanya ..weeeeeeee nitakuvunja miguu yako.....


Sepa mapema.
,umeongea kwa hisia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
1,102
Points
2,000

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2019
1,102 2,000
Hapana sio halali , ndio maana ninaruhusu uchukie hatua unayoweza lkn sio kuchukua hatua inayoniathiri kiakili NA kimwili...... Umenisaliti nmejua Fanya mpango wa kuondoka sababu SITOKAA KUKUFURAHIA nakila nitakapokuona NITAKUA NAHASIRA NAWEWE......nmekusaliti pia Fanya hatua ya Kuniacha au niadhibu kwa njia nyingine itakayonijutisha sana lkn Sio Kunisaliti km kisasi .Mbona mnawakata wanaume Mashine ??? Lkn hatusemi.


Asikuambie MTU aisee.... MKE ANAUMIZA SANA ,MKE ANAUMIZA MNOOO.
yamewahi kukukuta nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,757
Points
2,000

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,757 2,000
Mihayo kawatapeli nini crdb? Mihayo aliwauzia product ya Simu Account kwa makubaliano ambayo yeye angeendelea kuwa anafanya management ya product lakini wakafanya uhuni wakamwingiza mjini. Sasa kawatapeli kivipi? na mbona yeye ndio anataka kwenda mahakamani kudai rights zake, kwa nini isiwe crdb ndio waende mahakamani.

Siungi mkono mtu kupigwa ila kuna muda binadamu unafanya kitendo ambacho hata wewe mwenyewe haujui ulifikiaje kukifanya sababu ya mtu kukusukuma mpaka kiwango cha mwisho cha hasira. Huyo demu alikuwa anamchukulia mshikaji boya akawa anagongwa nje anarudi home usiku amelewa anamtukana mshikaji mbele ya watoto. Sasa ulitegemea atamuongelea vizuri kwa lipi.
Matumbo mtoto wa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,389,914
Members 528,056
Posts 34,038,496
Top